wanaume tufanye nini au jitihada gani kuwarudisha kundini awa jamaaaa?

kwakweli hao wanahitaji maombi na kushauriwa kisakolojia, wengine ni makundi tu yanawaharibu, ni wachache ambao hormones zao znawafanya wawe hvyo...
 
Wanahitaji maombi hawa, imagine huyo ni ndugu yako wa karibu..........waweza kata undugu, mtoto unamwachia radhi
 
Wanatia kichefu chefu ptuuuuuuuuuuuuuuuu!!
Ukauzu gani kuingiza dic.k humo eh
 
dah....ndo basi tena hao,halafu mbona wabaya wabaya?wanaume hawapendezi kabisa wanapojifanya kujipamba kama wanawake
 
mmmh uwiiii ama kweli dunia sasa imevaa chupi ikianza kutembea uchu tutajionea wenyewe
 
Ee Mola kwa kuwa uliahidi hutatuangamiza tena kwa moto hasa kwa dhambi hizi zinazokuchukiza kila kuchapo, turehemu kwani tupo wachache tunaokulilia kuomba msamaha wako...AMINA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…