wanaume tufanye nini au jitihada gani kuwarudisha kundini awa jamaaaa?

Jana nilikuwa naagalia documentary hii: Louis Theroux Does Porn - BBC Weird Weekends. Kuna mijamaa si mashoga lkn wanafanya ushoga kwa ajili ya pesa -- Gay for Pay. Duuh!

Hata hivyo, kazi ya mashoga haitimii mpaka wawepo na wale wa upande wa pili -- mkono mmoja haujipigi. Nao hawa vipi?
 
Back
Top Bottom