the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
- Thread starter
- #41
naomba ieleweke wale ni wahuni kidizaini..ila huyu ni mwanadada amekukubali amekuamini na ana uhakika utarinda mambo yenyu ya faragha kisha zimkute habari kuwa umeshatangaza...si poa mwenzanguDu! Mambo hadharani.
Wauza unga wanatangazwa.
Vyeti feki wanatangazwa. Hatari sana.