Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,294
- 34,516
Kwanini Mwanamke amekubali kubeba?Kwanini mwanaume ambebeshe mimba mwanamke asiye na malengo naye?
Kwanini Mwanamke amekubali kubeba?Kwanini mwanaume ambebeshe mimba mwanamke asiye na malengo naye?
Sasa kama hayupo inakuaje wabebe?Hivi yupo mwanamke anayekubali kubeba mimba ya mtu ambaye Hana malengo naye?
Kakudanganya period, haujaulizia mzunguko wake na sometimes bahati mbaya tuKwanini mwanaume ambebeshe mimba mwanamke asiye na malengo naye?
Sababu ziko nyingi tu. Sema hazijakukuta tuHakuna sababu yoyote inayoverify mwanaume kutokulea mtoto.
Hiyo ni roho mbaya na ubinafsi.
Wewe una kula hujui damu yako kama imekula au la? Kama umeacha damu yako inahangaika sababu ya ulizotoa hapo juu chukua hatua.
Mwanaume toka lini akalea mtoto? Mtoto analea mama baba kazi yako kutafuta hela kuwatunza na kumpa mapenzi ajue anababa anayepambana kwa ajili yake.Roho mbaya anayo Mwanamke, kama ninakuwa tayari kumlea ila yeye asiye na uwezo wa kumlea anamng'ang'ania nifanyeje?
Na wengi wanafundishwa kiburi na wazazi wao
Aking'ang'ania kumlea unamtelekezea kabisa unaishi na Mwanamke mwenye akili nzuri na muelewa.
Kuna watu ni vichomi, hilo nakubaliana na jamaa. Naona jamaa zangu wanavyopata tabu, ukimlea mtoto ni shida, ukimuachia pia lawama kila siku. Kuna nyakati watu wanaingia katika mahusiano na watu ambao true colours zao ni ngumu kuzijua, na ukizijua ni too late.Kwanini uzae naye hali unajua ni kichomi?
Solution ipo hapa, umemaliza;Na sisi wanawake tuache kubeba mimba bila kujipanga Mana nikutesa tu watoto, na wanaume tumieni kondomu mtu unazaa na wanawake watoto nane kila mmoja na mamake kipato chakulea huna.
Kuna wanawake wanajua kulea sikuhizi na kudanga wafanye saa ngapi?Mwanaume toka lini akalea mtoto? Mtoto analea mama baba kazi yako kutafuta hela kuwatunza na kumpa mapenzi ajue anababa anayepambana kwa ajili yake.
Acha kuingilia majukumu si yako.
Ukijaribu kuwaambia ukweli wanawaka kama vifuuKuna watu ni vichomi, hilo nakubaliana na jamaa. Naona jamaa zangu wanavyopata tabu, ukimlea mtoto ni shida, ukimuachia pia lawama kila siku. Kuna nyakati watu wanaingia katika mahusiano na watu ambao true colours zao ni ngumu kuzijua, na ukizijua ni too late.
Eee kumbe mzazi mwenzio mdangaji? Utazaaje na mdangaji?Kuna wanawake wanajua kulea sikuhizi na kudanga wafanye saa ngapi?
mkuu funzadume hebu nifanyie mpango wa kale karamani nifanye mambo kwa mchepuko wangu ili amlee mwanangu vizuriHii nakuunga mkono kabisa. Kuna mwanamke mmoja niliwahi kumpa mimba (kwa bahati nzuri iliharibika) alinisumbua sana Enzi hizo sijaoa. Ilikuwa balaa sana aliwasumbua mpk wazazi wangu. Alipata complication mimba ikaharibika ila nilishangilia kama harusi vile maana nilishapanga nimtelekeze yeye mtoto na wazazi wake kwa ushenzi wao
Angalia unavyoanza kuwashwa, nani amekuambia nina mzazi mwenzangu?Eee kumbe mzazi mwenzio mdangaji? Utazaaje na mdangaji?
Tunavumilia tu ,ila kula pipi na ganda lake sio kabisaa.Umemaliza tatizo mkuu hayo mengine ni ziada