Wanaume tubadilike, tuache tabia ya kuzaa na kutelekeza familia

Hakuna sababu yoyote inayoverify mwanaume kutokulea mtoto.
Hiyo ni roho mbaya na ubinafsi.
Wewe una kula hujui damu yako kama imekula au la? Kama umeacha damu yako inahangaika sababu ya ulizotoa hapo juu chukua hatua.
Sababu ziko nyingi tu. Sema hazijakukuta tu
 
Roho mbaya anayo Mwanamke, kama ninakuwa tayari kumlea ila yeye asiye na uwezo wa kumlea anamng'ang'ania nifanyeje?

Na wengi wanafundishwa kiburi na wazazi wao

Aking'ang'ania kumlea unamtelekezea kabisa unaishi na Mwanamke mwenye akili nzuri na muelewa.
Mwanaume toka lini akalea mtoto? Mtoto analea mama baba kazi yako kutafuta hela kuwatunza na kumpa mapenzi ajue anababa anayepambana kwa ajili yake.


Acha kuingilia majukumu si yako.
 
Na sisi wanawake tuache kubeba mimba bila kujipanga Mana nikutesa tu watoto, na wanaume tumieni kondomu mtu unazaa na wanawake watoto nane kila mmoja na mamake kipato chakulea huna.
Solution ipo hapa, umemaliza;
1. Wanawake wasijibebeshe mimba bila mpango.
2. Wanaume watumie kinga kila wanapojihusisha na ngono
3. Watu waache kabisa kufanya ngono
 
Mwanaume toka lini akalea mtoto? Mtoto analea mama baba kazi yako kutafuta hela kuwatunza na kumpa mapenzi ajue anababa anayepambana kwa ajili yake.


Acha kuingilia majukumu si yako.
Kuna wanawake wanajua kulea sikuhizi na kudanga wafanye saa ngapi?
 
Kuna watu ni vichomi, hilo nakubaliana na jamaa. Naona jamaa zangu wanavyopata tabu, ukimlea mtoto ni shida, ukimuachia pia lawama kila siku. Kuna nyakati watu wanaingia katika mahusiano na watu ambao true colours zao ni ngumu kuzijua, na ukizijua ni too late.
Ukijaribu kuwaambia ukweli wanawaka kama vifuu

Kulea hawawezi na ukiamua kumlea mtoto aliyemaliza kunyonya kwa namna nyingine yenye unafuu bado hawataki

Wanashangaza sana hawa watu.
 
Hii nakuunga mkono kabisa. Kuna mwanamke mmoja niliwahi kumpa mimba (kwa bahati nzuri iliharibika) alinisumbua sana Enzi hizo sijaoa. Ilikuwa balaa sana aliwasumbua mpk wazazi wangu. Alipata complication mimba ikaharibika ila nilishangilia kama harusi vile maana nilishapanga nimtelekeze yeye mtoto na wazazi wake kwa ushenzi wao
mkuu funzadume hebu nifanyie mpango wa kale karamani nifanye mambo kwa mchepuko wangu ili amlee mwanangu vizuri
naona haya mambo yashachanganya
 
Kingine ni kupenda kuishi kwa kiki tu yan msichana anabeba mimba kwa sababu fulani ana mimba/mtoto au pengine kwa sababu mtu wake ana michepuko sasa ukizingatia kashajinasibu sana huko kwenye mitandao ya ya kijamii anabeba ujauzito wa sharo flan asiye na dira mtaani ili kuwakomesha hao wenzake (kwa mtazamo wake) pasi na kujua anajikomesha mwnyw ukitaka kuamn km mizizi ya hz mimba ni watoto wa kike wenyewe date na single mother mwny watt kuanzia wawili......my friend km haupo serious naye na anajua utaforce sn ila hawezi beba ujauzito hyu.....wanatumia kila mbinu hawa sahau kuhusu kalenda na vijiti,wanapiga sindano,wanatumia mno P2 tena pasi kukushirikisha.....mwagia sana na kujikuta don unaishia kumnenepesha tu na kumuongezea virutubisho mwilini
 
Watanganyika uchwara hawa wanapotoshana huko kwenye vijiwe vya soga kwamba urijali ni kukojoa kojoa tu hovyo!

Wengine hata kula tu ni mtihani lakini anakojoa tu, kutwa kujaza watu mimba mitaani matokeo yako machokoraa yamejaa kila mahali. Watoto wa mitaani wanazunguka tu mabarabarani hawajulikani hata wametoka wapi!

Kumbe chanzo ni hawa marijali uchwara wazee wa buku buku na unga robo kwa mangi! Udananda tu na kudandia dandia ofa za mafogo mjini!

Watu wawajibike na wajitambue! Ohhhh wazungu watatuzuia kuzaa!! Nonsense!
 
Back
Top Bottom