Mabichi iyo vepeDaaah!!
Kweli mambo bado mabichi
Emb nipe chapchapI couldnt have given her a better song than this
[emoji106]
Hapana kwakwelHiyo inaitwa AKAPELA.. Umeipenda?
Du! Kama ndiyo hivi wata wanajichukia mpaka nafsi zao. Samahani wewe ni dhehebu gani? Kama ni mkristo mwanzo 2:20 - 25 ipitieMario Balloteli alisema hauna haja ya kumpongeza akifunga goli maana ndio kazi yake.
So nimpongeze kisa anafua nguo zangu? Kwani jukumu lake ni nini?
Kutunza watoto sio jukumu?
Yaani hapo ni sawa na kudai haki sawa kwa wote huku ukisema mwanamke anateseka kubeba mimba kwa miezi 9......
Nimeipitia........Du! Kama ndiyo hivi wata wanajichukia mpaka nafsi zao. Samahani wewe ni dhehebu gani? Kama ni mkristo mwanzo 2:20 - 25 ipitie
Nimeipitia........
Mambo mengi yamezungumzwa, ikiwa pamoja na lengo kuu la kuletwa mwanamke hapa duniani.Umepata nini hapo baada ya kupita
Hivyo mwamamume atawaacha wazazi wake na kuungana na mwanamke nao watakuwa mwili mmoja. Umeelewa nini hapo?Mambo mengi yamezungumzwa, ikiwa pamoja na lengo kuu la kuletwa mwanamke hapa duniani.
Bado nakuonesha nia kote huku hunielewi tu!!?Mabichi iyo vepe
Hata akijamba unamwambia pole baby,hujaumia?Mmh haya mambo ndio yanaleta ugumu wa maisha ya ndoa. Yaan kila kitu ushukuru aiseee unapiga chafya unataka pole,utumwa huo.
Hata akijamba unamwambia pole baby,hujaumia?
[emoji40]Bado nakuonesha nia kote huku hunielewi tu!!?
[emoji449] [emoji448] [emoji445] [emoji446] [emoji443] [emoji444] [emoji441][emoji40]
Naona umeamua kumpigia matarumbeta kabisaaaa...[emoji449] [emoji448] [emoji445] [emoji446] [emoji443] [emoji444] [emoji441]
Utaipenda tuu husiwe na haraka.. It takes time,,,Hapana kwakwel
Only name?Pyepyepye [emoji23][emoji23]
In love with your username
IvoOnly name?
HahahaaNaona umeamua kumpigia matarumbeta kabisaaaa...