Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

Wanaume tubadilike, tenda utendewe!

Ikiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.

Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa namshukuru?
Je nilishawahi kumpongeza kwa malezi ya watoto wetu?
Je nilishawahi kumletea zawadi na nikamwambia "hii ni mahususi kwa kuwa jana ulinipikia ugali mtamu?"

Wanawake wengi hupenda kujifunza kwa waume wao. Kabla haujenda kumshtaki mkeo, kwa mshenga, mzee wa kanisa, padri, shekhe, mchungaji askofu, n.k
Fanya haya niliyokuambia, maana MUNGU anakwenda kuiponya ndoa yako sasa.
mwanamke mwenye Busara humshukuru mumewe kwa moja kubwa "kumchagua"
hayo mengine ni viherehere vyenu,

wewe upo nyumbani, mi nimekununulia mavazi malazi, mafuta mazuri, nimekutia mimba "ukapata" watoto nikuhemelee upike halafu uninunie eti sijakushukuru kwa chakula!
Shenzi kabisa,

kwanza wanawake hamridhiki kwa chochote,
MUNGU kawawekea makalio mnaona hayawatoshi mnaweka ya bandia, kucha bandia, nywele za marehemu, rangi ya kipodozi, sura yenye wanja nashedo, Ngozi zenye michoro ya ina(sijui hina) hadi sauti za kuigiza!!

Sisi wanaume tutawaridhisha tuwaweze????

mi roho yenu inaendana na nyoka, maana alipowadanganya mlikubali!

(Si wote ila wengi wenu)
Samahani kwa wale wasiomkosoa MUNGU ktk maumbile yao au ya wenzao
 
Hayo uliyoorodhesha hapo labda ni kwenye ndoa za bongo movie,in reality maisha hayapo hivi wala maisha ya ndoa hayana kubusiana ukirudi ndani ya nyumba maana utakutana na watoto kuja kukupokea wengine wanataka uwabebe muende nje kuangalia mandhari,kama wanasoma bado hujakagua madaftari yao mwengine anakuletea hesabu ya vitu alivyoambiwa aende navyo shule kesho mama yao yupo jikoni anawaandalia chakula mtaonana saa ngapi,ndoa inakubadilisha unauishi uAfrica wako.ukitaka ukose amani ktk ndoa yako endekeza huu umwinyi...personally kwangu hata nikirudi na kimfuko mkononi nikamkuta kakaa idle na asinipokee wala sipati shida,maji yakuoga kuna siku ananiwekea siku nyengine haweki{sasa ukiwa unaendekeza hayo hapa lazima u-panic,mbona jana kanitengea maji leo hajaniwekea?mwanamke kishaanza dharau huyu}kisha utaanza kuishi kwa wasiwasi.kuangalia watoto ni jukumu la mzazi bila kujali ni mume au mke pia mwanamke anaejitambua anayajua majukumu yake mf kumfulia mumewe nguo maana lazima niwe msafi,kupika chakula niwe na afya ya kuitafutia familia nk.usiende kwenye ndoa kichwani ukiwa na ndoto za uchumba maisha kuna kukosa ipo siku utashindwa kumnunulia mkeo zawadi nae atanuna maana ndivyo ulivyomzoesha.
 
mwanamke mwenye Busara humshukuru mumewe kwa moja kubwa "kumchagua"
hayo mengine ni viherehere vyenu,

wewe upo nyumbani, mi nimekununulia mavazi malazi, mafuta mazuri, nimekutia mimba "ukapata" watoto nikuhemelee upike halafu uninunie eti sijakushukuru kwa chakula!
Shenzi kabisa,

kwanza wanawake hamridhiki kwa chochote,
MUNGU kawawekea makalio mnaona hayawatoshi mnaweka ya bandia, kucha bandia, nywele za marehemu, rangi ya kipodozi, sura yenye wanja nashedo, Ngozi zenye michoro ya ina(sijui hina) hadi sauti za kuigiza!!

Sisi wanaume tutawaridhisha tuwaweze????

mi roho yenu inaendana na nyoka, maana alipowadanganya mlikubali!

(Si wote ila wengi wenu)
Samahani kwa wale wasiomkosoa MUNGU ktk maumbile yao au ya wenzao
Mama yako nae ni mwanamke unajua..!
 
kwani kwenye kicheni paty huwa mnafundishwaga kudai asante au kuvumilia hayo ni mapito , i wish kuona huwa wanafanyanga nn kwenye hizo kicheni party

√Nahsi we ulikimbia kwa kungwi wako kwa hichi unachodai, nenda kadai ahasante kwa wasukumu uone kama hujarudi sikio huna....!
 
Watu huwa.mnajali sana mambo.madogo

Pole na kaz akisema nakumbuka kuwa kasema asipo sema sijali maana sijaweka kuwa.ni.neno la lazima

Ila swala kunipikia ndio nalo care hizo mbwembwe zingine km hajanizoea kabla hatujaona basi atajuta

Eti
Kuna demu anambiaga wewe mgumu kuomba msamaha wala sijawai sikia neno nisamehe kutoka kwako..??

Wasichana wanapenda sana kujali vitu ambavyo sio msingi smtymz
 
Usijitetee kwa ilo.. Punguza dharau kununua nguo vyakula n. K ni jukumu lako... Ila kushukuru pia kuzur kunaongeza ladha ya upendo. Hatusemi muda wote bali jifunze kuwa na hulka iyo.
we, unasema nisijitetee!
ungeniona ungeishiwa hadi nguvu ya kugonga keybord yako!
Yote hayo hakuna geni kwangu hata moja, ila wewe bado unafanya interview ili uingie huko, au ndo umeingia unadhani unaweza kuishi maisha hayo!
HAIWEZEKANI!!!
 
Ikiwa siku hizi mkeo hakupi pole kwa kazi, wakati awali alikuwa akifanya hivyo kila unapotoka kazini.

Jiulize yafuatayo.
Je nikimaliza kula huwa namshukuru kwa kupika?
Je akifua nguo zangu huwa namshukuru?
Je nilishawahi kumpongeza kwa malezi ya watoto wetu?
Je nilishawahi kumletea zawadi na nikamwambia "hii ni mahususi kwa kuwa jana ulinipikia ugali mtamu?"

Wanawake wengi hupenda kujifunza kwa waume wao. Kabla haujenda kumshtaki mkeo, kwa mshenga, mzee wa kanisa, padri, shekhe, mchungaji askofu, n.k
Fanya haya niliyokuambia, maana MUNGU anakwenda kuiponya ndoa yako sasa.

We utakuwa bushoke hakuna cha asante wala pole
 
we, unasema nisijitetee!
ungeniona ungeishiwa hadi nguvu ya kugonga keybord yako!
Yote hayo hakuna geni kwangu hata moja, ila wewe bado unafanya interview ili uingie huko, au ndo umeingia unadhani unaweza kuishi maisha hayo!
HAIWEZEKANI!!!
Kele uuuuwiiiiiiiiiii.... Mwenzio nina mwaka wa nane.... Ila kwa kua nshajua ukoje aya baki ivoivo na udikteta wako tuuuu...
 
Usingenioa haki ya mama.... Navopenda kubembelezwa mie we usingeniweza. Hahaha
Dah!
ningefanya hata ka u sungura nikakubembeleza nikakugonga hata papuchi walau, baada ya hapo tungekuwa ngoma droo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom