Habarin za usiku humu ndani bila shaka mko vizuri.......
Kumekuwa na malalamiko mengi humu ndani kutoka kwenu wanaume, sijui niziite lawama ama nini hata sielewi lakini hamuishi kutuongelea, ati wanawake tunalazimisha kuolewa huku mkijua fika kuwa mwanamke na kuolewa ni muhimu.......
Sasa jaman hamtaki tuolewe ama? maana tusipoolewa pia hamtokosa neno la kutuambia (binadamu haishiwi maneno).
Wakati mwingine unakuta mwanaume umri umekwenda kweli kweli, hapo kasugua gaga kupata walau mpenzi ajenge naye mahusiano baadae ndoa, lakini naye pia analalama ati mwanamke anawaza kuolewa mwezi mmoja tu wa mahusiano anaulizia ndoa, wakati hapo alitakiwa ashukuru mungu kakutana na mwanamke mwenye kutaka kuolewa naye anaacha kushukuru mungu kamwonesha nyota njema asubuh yeye anashangaa kwani kuolewa ni jambo la ajabu? eti nauliza jamni mbona kama kututupia lawama zisizokuwa na mashiko???
Hili suala la kuharakisha kuolewa sio kwetu tu hata nyie wanaume mnaharaka sana ya kuoa lakini hapa mnaficha uhalisia, wapo wanaume katoka huko ana stress zake sijui anakutongoza kwa gia ya kutaka kuoa mbona hatuwaongelei hapa? mwingne mko kwenye mahusiano miezi mitatu ati anataka akajitambulishe kwenu wakati hata wewe mwenyewe hujamjua vizuri bado... watu kama hawa sijui wanawaza nini vichwani mwao.............................
NB: Mtuache jaman kama mtu aliset goal aolewe ni lazima liachieve, tafadhali wanaume msiwaharibie watu mipango yao, looo but sio kwangu mimi nipo nipo sana....................
Mwanamke ukiulizia ndoa ni sheeeda..ile yeye ahh hakosei hata kama anakutania...wengi tu wanajijua ndio zao anaropoka ndoa oh i want to settle oh i've finally met my wife nk hata mwezi haujaisha si utulie kdogo tufahamiane jmn heh uko fastaaa unajuaje utaniweza?,ila kwa kuwa ye mwanaume poa sana kosa useme mwanamke....
Trust me i tell you kwa tabia za kiume zilivyo sisi ndo tungekuwa tunawa-approach na kutaka ndoa hakuna ambae angechomoa...
Mtuacheeee wengine we re not marriage desperate kutujaza habari za uongo za ndoa hatutaki.kama ipo acha time will tell usichoshe mtu na fake promises

sio sitaki kuolewa......... ila sio kwa sasa muda ukifika mambo yenyewe yatajiset