Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..

1: Utageuzwa kitega uchumi ama mpesa.
Vibinti vingi hasa vya shule na chuo, huwa vina mambo mengi, utasikia "nitumie 30 nikatoe copy ya notes, ama simu yangu ipo kwa fundi amesema ni 50k." "mtungi umeisha gesi" " Ukiwa na mdada mtu mzima hafanyi hivi, kwanza anaona aibu kusema haya, atakuomba hela kwa njia nyingine.

2: Heshima inashuka..
Pili ni heshima yako inashuka baada ya kumnyandua binti huyo, kwani anakuona kama kijana mwenzake. Imagine binti wa 23 yrs anamwambia mzee wa miaka 70 assume ni baba yako. "hujakua wewe nakuacha" hapo mzee wa watu anapiga goti kisa tu mnato binti.. Na ukute mzee wa watu ndo una kibamia ndio utajuta yaani. Tutulie na wake zetu wakuu ama kunywa k vant aka kifutio kama una stress..

3: Kifo nje nje...
Pia kifo kinakuwa nje nje yaani, Izraili anakuwa kashashika kalamu anasubiri tu kupiga sign urudishe namba.. Vitoto hivi huwa vina style za laana wakati wa kufiringana. Mara "idondokee" mzee wa watu hujakaa vizuri mara kamekupa "nimekususia yote" kanakuja kukumalizia na sijui "covid 19" Nini hapo kama si mzee wetu uteme nyongo na maini? Tabu yote ya nini mzee mwenzangu? Mkeo anakupa kistaarabu kabisa wala hazijui hizo "doggy style"..punguza usije dedi ujaacha urithi..

Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
Miaka 23 kwenye tasnia ya mapenzi ni shangazi kabisa huyo kaka tena graduate kamaliza chuo ana mwaka mmoja mtaani. Binti mdogo ni miaka 14 hadi 16. Point of correction
 
Wakuu

Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima
Hasara ni nyingi tuone..

1: Utageuzwa kitega uchumi ama mpesa.
Vibinti vingi hasa vya shule na chuo, huwa vina mambo mengi, utasikia "nitumie 30 nikatoe copy ya notes, ama simu yangu ipo kwa fundi amesema ni 50k." "mtungi umeisha gesi" " Ukiwa na mdada mtu mzima hafanyi hivi, kwanza anaona aibu kusema haya, atakuomba hela kwa njia nyingine.

2: Heshima inashuka..
Pili ni heshima yako inashuka baada ya kumnyandua binti huyo, kwani anakuona kama kijana mwenzake. Imagine binti wa 23 yrs anamwambia mzee wa miaka 70 assume ni baba yako. "hujakua wewe nakuacha" hapo mzee wa watu anapiga goti kisa tu mnato binti.. Na ukute mzee wa watu ndo una kibamia ndio utajuta yaani. Tutulie na wake zetu wakuu ama kunywa k vant aka kifutio kama una stress..

3: Kifo nje nje...
Pia kifo kinakuwa nje nje yaani, Izraili anakuwa kashashika kalamu anasubiri tu kupiga sign urudishe namba.. Vitoto hivi huwa vina style za laana wakati wa kufiringana. Mara "idondokee" mzee wa watu hujakaa vizuri mara kamekupa "nimekususia yote" kanakuja kukumalizia na sijui "covid 19" Nini hapo kama si mzee wetu uteme nyongo na maini? Tabu yote ya nini mzee mwenzangu? Mkeo anakupa kistaarabu kabisa wala hazijui hizo "doggy style"..punguza usije dedi ujaacha urithi..

Mwisho wazee achieni mabinti vijana waoe. Ndio maana Extrovert hataki kuoa.
Addicted to these chicks sijui kwa nn aisee.
 
Back
Top Bottom