Wanaume Tu: Mlio kwenye ndoa mnasemaje kuhusu hili????

Wanaume Tu: Mlio kwenye ndoa mnasemaje kuhusu hili????

Ndio maana kila siku najikuta mzuka wa kuoa unapungua... Kisa hizi motivation..

Ni jambo la kweli... Ndio maana wasanii hujaribu kufanya na remix sometimes cover za wimbo... Vivyo hivyo kwa wanawake nawashauri wawe wabunifu wawe dynamic sio kila siku anaku na ladha ile ile hakuna vionjo...

Sato ni mtamu na ni ghali hasa lakini ukila mchemsho siku mbili mfululizo unamkinai lkn ukijaribu kumkaanga kidogo anaenda..

Msiwahi kuridhika, nasisi tujaribu kuridhika japo sio rahisi ila inawezekana.

Sent using Unknown device
Ila kwa mwanaume kamili kuwa na mwanamke mmoja ngumu Sana[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haifanyi kazi namna hiyo,kwanini unatoa mifano inayochosha!?Kwa mfano nikiwa na gari nyingi nikaamua kuchagua Bugatti tu niwe natumia kila siku unahisi ntalichoka?au nikiwa na nyumba nyingi za tembe dodoma nikaamua kuishi kwenye ghorofa langu masaki unahisi ntakumbuka nyumba zangu za tembe za Dodoma!?kipindi tuko Watoto mzazi alikua akikinulia toy mpya zile toy za zamani zote unaazhana nazo,unless kama toy mpya haukuipenda ila kama umeipenda huwezi kukumbuka toy za zamani..angalizo hata kama unatoy mpya haikuzuui kuchezea za marafiki zako..!!
Asante mkuu, huyu jama anataka kutuhadaa.
 
Aiseee,hivi darasa la Saba ulifaulu kweli???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kujua Maisha ya ndoa yalivyo???? Futa nyimbo zako zote kwenye simu yako na iache moja tu,then isikilize hiyo hiyo tu kila siku,au chagua chakula kimoja mfano pilau mbuzi,then uwe unakula chakula hicho hicho tu kila siku, nadhani tumeelewana

You want to know how being married feels like? Okay delete all songs from your phone and leave one, then listen to it all day everyday...View attachment 1052808

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishikiwa mtutu kuoa?

Ndoa sio kungoneka pekee inagusa kila nukta ya maisha ya kila siku
 
Katika wanaume million 100 mie ni yule mmoja naeridhika na mke mmoja provided ana adabu na hanikwazi kila napomuhitaji!
 
Nafikiri hii pia inaapply kwa mwanamke. Kuishi na mwanaume mmoja pia kunachosha sio? Isihalalishwe kwa wanaume tuu. Wanawake nao wako kwenye ndoa. Je? Nao kukaa na mume mmoja huyohuyo unawashauri vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom