Wanaume Tu: Mlio kwenye ndoa mnasemaje kuhusu hili????

Wanaume Tu: Mlio kwenye ndoa mnasemaje kuhusu hili????

Pablo Blanco

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
7,324
Reaction score
6,657
Unataka kujua Maisha ya ndoa yalivyo???? Futa nyimbo zako zote kwenye simu yako na iache moja tu,then isikilize hiyo hiyo tu kila siku,au chagua chakula kimoja mfano pilau mbuzi,then uwe unakula chakula hicho hicho tu kila siku, nadhani tumeelewana


You want to know how being married feels like? Okay delete all songs from your phone and leave one, then listen to it all day everyday...
images(134).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...ngoja marioz waje wakudunde [emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Haifanyi kazi namna hiyo,kwanini unatoa mifano inayochosha!?Kwa mfano nikiwa na gari nyingi nikaamua kuchagua Bugatti tu niwe natumia kila siku unahisi ntalichoka?au nikiwa na nyumba nyingi za tembe dodoma nikaamua kuishi kwenye ghorofa langu masaki unahisi ntakumbuka nyumba zangu za tembe za Dodoma!?kipindi tuko Watoto mzazi alikua akikinulia toy mpya zile toy za zamani zote unaazhana nazo,unless kama toy mpya haukuipenda ila kama umeipenda huwezi kukumbuka toy za zamani..angalizo hata kama unatoy mpya haikuzuui kuchezea za marafiki zako..!!
 
Ndio maana kila siku najikuta mzuka wa kuoa unapungua... Kisa hizi motivation..


Ni jambo la kweli... Ndio maana wasanii hujaribu kufanya na remix sometimes cover za wimbo... Vivyo hivyo kwa wanawake nawashauri wawe wabunifu wawe dynamic sio kila siku anaku na ladha ile ile hakuna vionjo...

Sato ni mtamu na ni ghali hasa lakini ukila mchemsho siku mbili mfululizo unamkinai lkn ukijaribu kumkaanga kidogo anaenda..

Msiwahi kuridhika, nasisi tujaribu kuridhika japo sio rahisi ila inawezekana.

Sent using Unknown device
 
Nature ya mwanaume ni wake wengi hakuna mwanaume anayetosheka na mke mmoja labda wanaume 10m ni mmoja na atakua na shida tu huyooo!!!

Mhimu heshima tu vikizidi na kudhihirisha plus kudharau ndo vinaumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Sadly,wanawake wengi hawautaki huu ukweli, mwanamke Kama unataka mwanaume wa peke ako nenda kaolewe na shoga,Cha muhimu heshima tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayana mashiko hayo usemayo. Ungesema hakuna mwanaume anayeridhika kufanya mapenzi na mwanamke mmoja hapo ungeeleweka, lakini hili la kusema haturidhiki na mke mmoja ni uongo.
 
Back
Top Bottom