Wanaume toeni ukweli wenu juu ya hili

Wanaume toeni ukweli wenu juu ya hili

Hu utafiti unaofanyika hapa na wanawake nimeupenda.unajua huku kwetu taasisi za utafiti huwa hazifanyi sana tafiti za kijamii kama hizi.ukweli mm napenda sazi ya kati kila eneo. nadhani umenipata.Je nanyi wanawake mnapendaje?.Ebu tubalance equation hapa!!
 
kwa nyakati hizi wanaume mnapenda kuoa wanawake vimodal au tipwatipwa nategemea majibu individual kwa sababu kila mtu ana interest zake

The secretary kipenda roho hula nyama mbichi..! Unaweza penda tipwatipwa lakini hatimaye ukaforu in ravu with no l type
 
Back
Top Bottom