Wanaume toeni ukweli wenu juu ya hili

kwa nyakati hizi wanaume mnapenda kuoa wanawake vimodal au tipwatipwa nategemea majibu individual kwa sababu kila mtu ana interest zake

Daaah wanaume tumetofautiana sana mm napenda mwenye nyamanyama sio sana yaani ajazie hasa maeneo ya kiuno na kitumbua pia kijae,lakini huwa namalizwa sana na mwanamke ambae kitovu kimezama ndani daaah huwa nasisimka mbaya!!
 
In terms of fantasy za lifetime partner ni potabo all the way..lakini kwa project(s) fupifupi it won't hurt kuchukua aliyekaribu kwa wakati huo kwa ajili ya kukata kiu (provided all terms and conditions are met) :heh::A S 13:
 
mi mke wangu alivyo ndivyo ninavyopenda,na ninavyopenda ndio mke wangu alivyo!unahitaji kufikiri kunielewa ninamaanisha nini!
 
  • Mwanamke wa kuoa siangalii shape, naangalia tabia.
  • Mwanamke ninayeangalia shape, ni yule wa kuburudika naye tu siku mbali tatu kila mtu na 50 zake, hapo naangalia mwanamke mwenye makalio makubwa, period!
 
In terms of fantasy za lifetime partner ni potabo all the way..lakini kwa project(s) fupifupi it won't hurt kuchukua aliyekaribu kwa wakati huo kwa ajili ya kukata kiu (provided all terms and conditions are met) :heh::A S 13:

bro!you have revealed the all time super secret of men!
 
Daaah wanaume tumetofautiana sana mm napenda mwenye nyamanyama sio sana yaani ajazie hasa maeneo ya kiuno na kitumbua pia kijae,lakini huwa namalizwa sana na mwanamke ambae kitovu kimezama ndani daaah huwa nasisimka mbaya!!

Mbona utawamaliza wote kwa kutafuta wenye kitumbua kinene
 
Mimi napenda mwembamba, ninacho maanisha ni kua awe na siha njema. Nb kuna tofauti kati ya wembamba na kukonda
 
Back
Top Bottom