Wanaume toeni ukweli wenu juu ya hili

kwa nyakati hizi wanaume mnapenda kuoa wanawake vimodal au tipwatipwa nategemea majibu individual kwa sababu kila mtu ana interest zake

Kwanini nimpendae mimi hukumuweka? Nampenda wa kati na kati ya hao wawili.
 
awe kimodel au tipwa tipwa, wote ni consumables tu na kila type ina raha yake..
 
kwani wewe maododou..ni mnene au chembamba???

Mie mwili umeendana na j.lo lakini nimepungua kidogo nimelingana na kim kardashian nataka nijue wanaume wengi wanapenda saizi gani ili kama ni wakuchumpa wakuparama niwe tipwa imenibidi niifanyie research proposal
 
Awe mfupi, mweusi kiasi mnene na awe ametembelea klinik ya kichina inayojua kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom