Vipi bidada yamekukuta nini maana ujumbe mkali kweli kweli....
kitendo cha kuwa mzee nimekukibali na ukiwa kijana nakutoake baruuu
unckle mwambie akupe matchNyie vijana wa sasa mna vituko sana
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa

Na akili zako za kuvukia barabara na nyingine za kwendea chooni ulidanganywa hivyo?
hizi ID hizi......njoo basi na ile ninayoijua tujadili hili......
Nyie vijana wa sasa mna vituko sana
Eti mara ooh unajua nina Bentley..... mjomba wangu ana Porsche....... haya bill hiyo hapo kauze Bentley ulipe........ nyau....
Wanaume Siku hizi mnapenda kulelewa,utakuta umetoka out na mpenzi wako hulipi bili,bili ikija unajifanya uko bize na simu
Tumewachoka,simu mnabip mpigiwe,hotel hamlipi visingizio tele mara nimesahau wallet ,kwa mikopo ndo wenyewe,
Tumewastukia,hamna jipya zaidi ya suruali mlizovaa
Ha ha ha ha! Pretaaa! Iko furahi! Achane ku2ka na masharo! Tafuta men of work!
kwani natoka na masharo basi.......mi nawaonaga tu.....Kenny wangu kasimama bana.......Ha ha ha ha! Pretaaa! Iko furahi! Achane ku2ka na masharo! Tafuta men of work!