Lizzy hili ndio jibuSijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???Yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
hasira zina punguza siku humu duniani pole sana by the way .sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.
Nimejikuta nashangazwa na watu wawilii wa aina hiyo kwa mpigo....nikajikuta najiuliza inakuaje mpaka mtu anaanza kwenda kusambaza maneno ya fulani niko nae...fulani nimetembea nae...fulani namjua sana kafanya hili na lile wakati sio hua
inasabishwa na nini zaidi ya utoto...ushamba na ujinga:???yani nimeboreka!!
Nwyz kama kuna wa aina hiyo humu embu nifungueni macho alafu muache hiyo tabia!
Na wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu
Ahaaa ahaaaa aisee umenikumbusha shule kuna jamaa tulikuwa tunasoma nae alikuwa na tabia hiziNa wengine wanapenda sifa ile aonekana kwamba yeye ndio kidume
tena ukute amepita mdada mzuri akasifiwa utamsikia huyo hana kitu nilishapita hapo
kumbe alitongoza akatolewa nje. upuuzi mtupu
Babu @WorkNa nyie mpunguze kuwa wanawake masketi:A S-key::help:
Sio vizuri kupotea nikushitaki kwa WiseladyYaani wa dizani hiyo wapo sana unakuta mtu anakuchambua vilivyo na ukute hata jina lake hulijui kazi kweli.
Acheni hizo tabia sio nzuri.
Kheeee Kheeee Mbimbinho unaenda kufanya huo utafiti wapiNgoja nikafanye fast utafiti kwanza, ntakuja na jibu.., tukutane hapa baadaye🙁
Na nyie mpunguze kuwa wanawake masketi:A S-key::help:
Sio vizuri kupotea nikushitaki kwa Wiselady
Sijawahi kuwachukia wanaume wote kama kundi...ila kuna baadhi wenye tabia za ajabu ajabu nawachukia sana.Hawa ni wale wenye maneno mengi....ya ukweli au ya uongo...mwanaume akishaanza kutumia maneno kupata attention tayari anafaa avalishwe sketi.