Wanaume stress tupu!!

Hata huko wadada kwa wadada hapako salama. Utapata ambaye ana wengine 6 kama wewe. Hapo suluhisho jiridhishe mwenyewe.
 
@Ashadii sema baadhi ya Wanaume... lol!!! Wengine huwa wanafunguka na kumfahamisha muhusika anapendwa kiasi gani.
Ukifunguka si ndio umefungulia mbwa utaonekana zezeta amna rangi utaacha ona. Kwa experience yangu tu siku ninayomwambia mpenz wangu jinsi gani nampenda kwa dhati in 24 hours lazma anifanyie jambo la kunikera mno hivyo huwa naamua kukaza tu kimya!
 
Reactions: BAK
Acha akili hio aisee mi mbona ni mwanaume ambae sina hio tabia ila pia na select wanawake wa kuendana na tabia yangu ila still inafikia time unakuta kuna mtu anachat nae kwa siri.
Inshort wanaume tulivu tupo, nachukia flirting around with other girls na usaliti kama ambavyo nachukia dhambi ila pia nikipenda huwa napenda sana kiasi kwamba nilienae ndio the best hata aje malaika pembeni.
 
kutedwa tunatedwa kila cku,tunadanganywa kila cku,bt cwez kufikiria huo ujinga hata cku 1!@mtoa mada,hapa umekosea sana.....wanaume wote wanafanana,cha msingi play u a part!

Haeleweki,achana nae utapata mwingine.Period
Hamna aisee mi nabisha...kwahio mi kuwa muaminifu kunaniondosha katika uanaume?
 

True...most men need a reason to stay loyal!

Kama si kwa mvuto wako wa mwili ama umbile lako then ni kwa tabia zako nzuri na za kuvutia. Uwe mpishi mzuri its a credit, uwe na mahaba sana its a Plus, uwe na kauli za kubembeleza its a convenience, uwe msafi sana its ana essence, uwe mtiifu sana its something that every man won't get over it, ukiwa na misimamo katika maamuzi yako na usiwe malaya kuna wanaopenda zaidi hili, uwe na akili na mawazo ya kujenga ndio dah bila kusahau uchungu na maisha yangu mashaallah you are going to be more like a mother for nuturing a good family.

Hizo ni baadhi ya qualities..kila mwanaume na anachopenda so ukiwa na sababu nyingi zaidi unakuwa katika position nzuri zaidi ya kuwin moyo wa mwanaume na kumfanya awe loyal kwako.

Muhimu weka standards zako mapema kwamba in this relationship any form of infidelity is not allowed atakaekiuka then his off the picture haina mjadala. It will take some time ila utampata atakaematch na qualities zako.
 
Inategemea ntu na ntu especially kama ntu hatambui maana ya kupendwa. Wanaotambua maana ya kupendwa wengi wao huwa raha mustarehe.

Ukifunguka si ndio umefungulia mbwa utaonekana zezeta amna rangi utaacha ona. Kwa experience yangu tu siku ninayomwambia mpenz wangu jinsi gani nampenda kwa dhati in 24 hours lazma anifanyie jambo la kunikera mno hivyo huwa naamua kukaza tu kimya!
 
Kwa promo hii lazima anase
 
sasa na huyo mwanamke mwenzio akiwapanga 6+ utageukia wapi....tulizana kuteleza sio kuanguka
 
Kwa mtazamo wangu naona wewe ni selfish. Ulishajitathmini mapungufu yako?, hujawahi mkosea mpenzi wako?
Nadhani mapenzi ni kumfanya mwenzio awe rafiki yako kwanza hapo utakua humpi sabab ya kuchepuka.
Dick is 4 vag and not otherwise, kinyume na hapo ni dhahma. Nawasilisha
 
waombe radhi wanawake wenzio...

unadhani mwanamke mwenye akili timamu ambaye yupo humu jf akufate pm et ukasagane naye?
 
Unatafuta legality ya kuwa certified lesbian....mnataka mjitie madole ama?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…