Wanaume stress tupu!!

Mhhhh! Watu wenye NGEKEWA zao za kupendwa!!! Hongera zenu

ha haaaaaaaa, umeona eeeh!
ngoja nimwambie teja naye asikilize hiki kibao
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
mhh! snowhite atanisaidia kweli baada ya kumsema kuwa anapenda 3some? nahisi nimetukana mamba kabla _________. ngoja ntamnunulia kadi ya "im sorry" na chocolates, pengine atanijibu

AAHHAHAHAHAHHAHAHHAHHAHAH!weye naye!kule anakopewa tabasamu dada mkubwa huwa hatuweki moyoni!siye kila siku kwetu ni cheko tuuu!3sum na The Boss wala haiathiri kukuelekeza waliko wa aina yetu!HIYO IMESHACHUKULIWA HATIMILIKI!maana tumeona watu wanatupiku i see!
 

Red: na huyo nae akikupanga wenzako sita... utahamia kwa ngedere!!
 

Mmh? Ila Na Si Wanaume Kwa Ku Justify Mambo Hatujambo. Mwanamke Nae Akiwa Na basha lake Mtaani mtasemaje? maana Hapo Mume Pov Litamtoka Na Ndoayaweza Kuisha.
 
Last edited by a moderator:
"Inna lillah wainnaa ilaihi raajiuun" Ww mwehu nin umeona iyo ndo solution..??
 

Nahisi unajaribu kuwa nice.......but you are a naughty boy!
 


Huyu hajawa muwazi,ila anajaribu kutafuta suluhu ya haraka.......yaonekana anapenda sana kamchwzo ketu kakiutu uzima.Mbona kuna wanawake wengi tu broken heart lakini hawaja fikia kutaka kusagana?
 
Kumbuka mafundisho ya dini yako yanasemaje?
 
Huyu hajawa muwazi,ila anajaribu kutafuta suluhu ya haraka.......yaonekana anapenda sana kamchwzo ketu kakiutu uzima.Mbona kuna wanawake wengi tu broken heart lakini hawaja fikia kutaka kusagana?

Nani hapendi hako kamchezo ka kiutu uzima?
Na kupenda sana kwa kipimo gani?
 
Long time no see you my dada...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…