Wanaume stress tupu!!

Mwalimu umetoa ushauri mzuri sana! Mimi nimejificha hapa nje ya darasa naangalia!

Natumaini mtoa mada amepata funzo kwani watu wametoa ushauri wa kutosha.

 
Last edited by a moderator:
...Nimekuelewa Mkuu ila ni uchokozi wa BAK tu lol!..halafu hao wasagaji wakimbore atarudi tena kwa njembas 🙂🙂

HA ha ha ha kaniudhi sana huyu Anna wanaume wote hawa walivyojazana mtaani eti ukasagane??? Ujinga gani huu. Taksida imetumika BAK
 
iv ndo yule asiyekuridhisha!!hmmmmm
 
Naomba kwanza tusimjaji kutokana na mada yake. Cha msingi tujue kwanza umri wake. Tukishajua hilo itakuwa ni rahisi kwa wana jf kumsaidia. Yawezekana huyu akawa amekurupuka na maamzi ambayo ameyaokota mtaani au kwenye vijiwe/picha za ngono na kuhisi kufanya hivyo inaweza kuwa suluhu ya kutohitaji mwanaume. Ama la tuwaombe; Asha dii, Binti.com, Nivea, Natalia, Ciello, (lara 1 fupa lililoshindikana), Madame B, Smile (kama umesharejea toka msibani), na woooote vikungwi wa humu ndani mu PM ili mkae nae mmsaidie ki saikolojia zaidi.
 
da.Tanzania inazidi kualibika sijui tuwafiche wapi watoto wetu..hivi hamuonagi hata wivu wenzenu wakiwa wanao au kuloewa?
 
Akili yako changanya na ya mwingine, watu wadau wametoa ushauri mzuri kiasi kwamba siwezi ongezea. Kilichobaki ni wewe kuamua. Na uanpoa anua kuwa makini na uamuzi wako usije msingizia shatani mambo yatakapo kuwa sivyo ndivyo wakati.................
 

AD unaweza kutujuza in detail hapo kwenye nyekundu, please?
 

ikifikia mwanaume anakuonyesha wazi kwamba ana kimada pembeni au anaongea nae hata akiwa nyumbani basi
hapo kuna tatizo, lakini kama mwanamke unabidi upigane kumrudisha mwanaume katika hali yake ya kawaida, wakati
mwengine, usikute mwanamke ndie chanzo! unajifanya busy, humpeti2 humpikii vihanjumati.....
 
Haya ni matokeo ya sisi wanawake kukosa haki zetu baada ya wanaume ku-opt kuhudumiana wenyewe kwa wenyewe. Inashangaza wanaume wamefikia mahali kutuona hatuwatimizii mahitaji yao hadi kuanza kuwatafuta mashoga!!!

Haya sasa mengine hayooo!
Jamani sasa sijui tuanzie wapi ili tuweze kurekebisha jamii yetu, watu wazima wenzangu njooni basi.....
 

Nikikumbuka trend ya threads zako, natamani siku moja nionane nawe uso kwa uso... tujadiliane..
 
Sawasawa wanaume ni chachu na chanzo wasababidhaji wa usagaji hakuna ubishi
 
hapo kwenye red umenichanganya kidogo, ndo kusema wenzetu mna mioyo mingi? kama kila mmoja unampenda kwa moyo wote basi unahitaji mioyo mi3 kupenda wanawake wa3
wewe sema tu kuwa mna uwezo wa kuzuga kupenda kwa moyo wote kumbe hakuna kitu........
kuna ambao wanaambulia asilimia 0 kwenye huo mchanganuo wa kupendwa
 
Nikikumbuka trend ya threads zako, natamani siku moja nionane nawe uso kwa uso... tujadiliane..
Tuko, siyo kujadiliana tu, u-provide na solution kabisaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Kuna zile thread ukianzisha unakua umeingia rasmi kwenye kundi la vilaza wa mmu,hii ni mojawapo.
 
Bi dada sema baadhi ya wanaume, si wanaume wote wana tabia kama hizo.
wengine tuna mateja yetu!akha!twanuna tu usingizi ukitupitia,kisa umetupunguzia muda wa kuangakia macho!LOL!
AHSANTE SANA MUNGU WANGU KWA KUNIUMBA NA KUNIPA BARAKA YA KUUFURAHIA UANAMKE WANGU KIASI HIKI!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…