Wanaume sio ATM!!!

Uporoto01, ni kweli yanakuwepo maongezi baada ya date....ila bado nafikiri msichana aliyekomaa zaidi hahitaji kupata approval ya rafiki. Unaweza ukaenda na rafiki kwenye date yako..then akakushauri mkaka hafai..kumbe yeye kampenda...ohhh!!! yapo hayo.

About my name...hili jina ninalipenda.... ni jina la mmoja wa mabinti wa Ayubu (kwenye biblia)..likiwa na maana "horn or child of beauty". I just like the name....

My thought exactly!!!!:coffee:
 
Hapo huyo dada kafanya makosa matatu makubwa (she committed 3 grave mistakes):
1. Kuharibu miadi ya jamaa (she spoiled the date). Yaani unaalikwa mpate muda wa kuongea na kufahamiana halafu wewe unaanza kubeba ndugu na ukoo mzima?
2. Kuomba omba hela na lift
3. Kuonesha kuwa hata huko mbele atakuwa yeye ni wa wakupokea tu (recipient) na huyo mwanamume atakuwa mtoaji tu (donor)

Kwa hiyo huyo dada ameonesha tabia za kiswahili na za kizamani, hastahili kupewa nafasi!
 
Yani babu wajukuu wasipobadilika hutapata wakwe kabisaaaaaa!
 
I'm glad dearest!!Heheheheheh!!!Aisee inabidi nikuweke ndani....don't be using shem like that bwana!!!

Ndo nilivyofundwa jamani, will change my dear....ila halalamiki sasa wala hasemi hana ye nikimuomba ananipa tu kwa furaha.....:laugh::laugh:
 
Wanaume kweli sio ATM na mkielemewa mseme!!!...kweli kama nikienda date na shosty wangu ujue namzingua jamaa vinginevyo napenda date iwe na maana yani mtu mbili tu!!
 
Yani babu wajukuu wasipobadilika hutapata wakwe kabisaaaaaa!

Wapo wengi tu, tunapata na tutaendelea kupata. Unajua hii dunia, kila shetani na mbuyu wake. Kuna wanaume pia wanapenda sana kuombwa omba vitu kama hivyo na hiyo hali inawavimbisha kichwa. Kwa maani hiyo, msichana kama huyo atakuja kupata mswahili swahili mwenzake. Ila kama ni mimi, sina hakika kama hiyo dinner tungeimaliza pamoja.
 
Wanaume kweli sio ATM na mkielemewa mseme!!!...kweli kama nikienda date na shosty wangu ujue namzingua jamaa vinginevyo napenda date iwe na maana yani mtu mbili tu!!

Kama humpendi kwa nini usikatae kutoka naye? BJ usinitie huzuni mdogo wangu!

Kwa dada anayejiheshimu, huwezi kufanya vitu vya kipuuzi namna hiyo na ukategemea mwisho kuwa na rafiki na hatimaye mume wa ukweli.
 
Mimi nakubaliana na V of R kuwa sio vibaya mwanamke akija na shoga'ke kwenye date ya kwanza ili aweze kusaidia kumthaminisha jamaa aweze kumshauri baadae kama atamfaa baada ya hapo inabidi aje peke yake lakini hili la vocha kila kukicha alafu hapigi inaboa na mwimbaji MR.Paul aliimba kwenye wimbo 'dola kumi kila simu waishia kunibipu wampigia nani' ?

Enzi zetu hii ilikuwa sawa ila kwa miaka hii haitegemewi mambo ya namna kama haya. Ina maana kuna watu (wavulana na wasichana) hawajui package wanazozihitaji katika mahusiano hadi wapate counseling?

Labda huyo dada haujastuka kwamba katika zama hizi za dot com si kwamba wadada wanategemewa kutoa mawazo yao bila mikingamo bali wanakaribia kuwa wa kwanza kuanzisha mijadala ya mahusiano. Huyo dada anastahili kutelemshwa kutoka kwenye treni hata kama iko maporini karibia na Kilosa. Siwezi kumwonea huruma hata kidogo!
 
ki ukwe kuna wadada ambao hawana malengo zaidi ya kuwaza starehe, basi fanya starehe kwa pesa yako sio unategemea pesa ya kumchuna mwanaume, kusema kweli wadada kama hawa wananibore sana wengine. Ningekuwa mkaka nisingesubiri haya yote yatokee ningekumwaga mapema kwani nyota njema huonekana asabuhi, tena huku ni kujishushia hadhi wadada.
 
Ndo nilivyofundwa jamani, will change my dear....ila halalamiki sasa wala hasemi hana ye nikimuomba ananipa tu kwa furaha.....:laugh::laugh:

Hehehehe!Nimekusoma dearest!Hata hivyo kama unampenda na uwezo wa kukupa anao then humtumii so it's owkey!Ila kama unamchezea tu ntakuchapa!!Lolz
 
Wapo wengi tu, tunapata na tutaendelea kupata. Unajua hii dunia, kila shetani na mbuyu wake. Kuna wanaume pia wanapenda sana kuombwa omba vitu kama hivyo na hiyo hali inawavimbisha kichwa. Kwa maani hiyo, msichana kama huyo atakuja kupata mswahili swahili mwenzake. Ila kama ni mimi, sina hakika kama hiyo dinner tungeimaliza pamoja.
Yeah ni ngumu kumvumilia mtu wa aina hiyo kama wewe hujazoea!
 
Yeah ni ngumu kumvumilia mtu wa aina hiyo kama wewe hujazoea!

Ndo maana namashauri huyo kijana asikae tena akamwaza au kumpa nafasi huyo dada. Ni mjinga tu na hajui atokako, aliko na anakotaka kwenda. Wakati huo huyo kaka anatafuta mwenza wa maana ili waanze maandalizi ya maisha. Huyo msichana hayuko kati ya wale wanaomfaa.

Nimekereka kwa kweli!

Babu DC
 
Hehehehe!Nimekusoma dearest!Hata hivyo kama unampenda na uwezo wa kukupa anao then humtumii so it's owkey!Ila kama unamchezea tu ntakuchapa!!Lolz

Simchezei Lizzy wangu nampenda sana......l.o.l
 
Ndo maana nmashauri huyo kijana asikae tena akamwaza au kumpa nafasi huyo dada. Ni mjinga tu na hajui atokako, aliko na anakotaka kwenda. Wakati huo huyo kaka anatafuta mwenza wa maana ili waanze maandalizi ya maisha. Huyo msichana hayuko kati ya wale wanaomfaa.

Nimekereka kwa kweli!

Babu DC
Kweli babu!Mwenyewe niliboreka kweli huyo kaka aliponieleza!Ila angalau amemjua mapema kabla hajapoteza muda na pesa kutengeneza uhusiano ambao hautadumu wala hatafurahia
 
Kweli babu!Mwenyewe niliboreka kweli huyo kaka aliponieleza!Ila angalau amemjua mapema kabla hajapoteza muda na pesa kutengeneza uhusiano ambao hautadumu wala hatafurahia

Kwa mtu yeyote makini, huyo dada ni bomu linaloweza kukulipukia wakati wowote. Lazima utimue mbio haraka sana.

Ila limenijia swali moja la kipuuzi. Hivi wewe umeanza anzaje kuwa na urafiki na mtu mpuuzi kama huyo dada? Sorry kama nimekukwaza!
 
Hahahahaha!Wala hujanikwaza!Huyo rafiki yangu wa kiume nae aliniuliza hivyo hivyo!Newayz nilimwona mzuri kabla sijamsoma!Nimeshaanza kumpotezea sasa!
 
Hahahahaha!Wala hujanikwaza!Huyo rafiki yangu wa kiume nae aliniuliza hivyo hivyo!Newayz nilimwona mzuri kabla sijamsoma!Nimeshaanza kumpotezea sasa!

Hebu fanya hima mdogo wangu..Hii inaweza kukutia jinai bila hatia!!!

Babu DC
 
Ni kweli ila wanaume wengine wao wenyewe ndio wanajiwekea mazingira ya kuchunwa chunwa. We mmekutana siku ya kwanza anakuelezea assets zake zote majivuno ndio usiseme.
Aaaaargg sijui wanafikiri ndio watapata wapenzi kirahisi!
Wengine huwa hatuwezi kuomba omba ila mwanaume wa hivyo akikutana na mwanamke mcharuko atachunwa hadi basi.
 
Kama wewe si mpenzi wa hizo hadithi kwa nini usimteme toka siku hiyo? Ukiendelea kumsikiliza maana yake unamind hizo story.

Ndo maana nikasema kuwa kila shetani ana mbuyu wake. Kama mwanaume wa namna hiyo haifikii TBS kwa upande wako..usimpe nafasi ya kukukera na hadithi zake. Na pia mwanamke ambaye akili yake toka mwazo imezama kwenye wallet anatakiwa akutane na mwanamume anayeendekeza hayo mambo. Hata hivyo wanaume wa kufungua fungua wallet siku hizi ni wachache sana. Ngoma inakuwa tamu kama wote mko tayari kushea maisha ikiwemo gharama za starehe na mambo mengine. Kupigana mabomu ya vocha na upuuzi mwingine kwangu ni BIG NO!! Bahati nzuri nimeshastaafu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom