Hi michelle hope all is well can i come for mdalasini tea today ? promise to come alone.nini tena mchokozi wewe CPU?
Hi michelle hope all is well can i come for mdalasini tea today ? promise to come alone.nini tena mchokozi wewe CPU?
hi! central processing unit.....how are you doin today?
Hi michelle hope all is well can i come for mdalasini tea today ? promise to come alone.
nini tena mchokozi wewe CPU?
Mmhh Lizzy labda dada ni muoga au mtu wa aibu na hajui ataongea nini na anataka mtu wa kumsaidia kumake a conversation, yaani back-up asije akasema the wrong things.. (ujasiri unatofautiana)
Mimi nakubaliana na V of R kuwa sio vibaya mwanamke akija na shoga'ke kwenye date ya kwanza ili aweze kusaidia kumthaminisha jamaa aweze kumshauri baadae kama atamfaa baada ya hapo inabidi aje peke yake lakini hili la vocha kila kukicha alafu hapigi inaboa na mwimbaji MR.Paul aliimba kwenye wimbo 'dola kumi kila simu waishia kunibipu wampigia nani' ?
michelle.....
ha ha ha ha ha ha........you may come,ila some service won't be provided coz ya sababu zisizoweza kuzuilika.....l.o.l:laugh::laugh:
keren nafahamu nyinyi ladies huwa mnakuwa na postmortem discussion after a date sasa si inakuwa rahisi zaidi rafiki yako akiwepo kwenye hiyo date ya kwanza ili aweze kuchangia mawazo baadae ?Hapo kwenye red...hivi unaweza tu ukamshauri mtu huyu anafaa kwa kumwona siku moja tuuu na kwa kumwangalia anavyoonekana tuu???? Mimi nafikiri mwenye date ndo anatakiwa kumjua mtu wake zaidi.... na yeye ndo mwenye kufanya uamuzi.
Wala msikubali kukamatishwa kiivyo!Lizzy thanks for this useful sredi
VOR na The Finest wameongea almost mawazo yangu kabisa
Ila sasa unakuta mtu unajifanya 'kipofu', unafanya yote kulingana na demand zake, lakini omba kwenda tabenako uone kasheshe yake...visingizio kibao...hapo mtu unajua 'hii si rizki' unachapa lapa
Halafu wanakuja baadaye oooh 'tuna nuksi mbona hatuolewi au kupata BF' usawa huu kuna mtu atakubali kuchunika kinamna hiyo kweli?
Asante dearest!Mi mzima wa afya...how is you and my shem?
No worries i come from a very patient family my brother 'fukuziad' a lady for three years before she FINALLY accepted him lol!
keren nafahamu nyinyi ladies huwa mnakuwa na postmortem discussion after a date sasa si inakuwa rahisi zaidi rafiki yako akiwepo kwenye hiyo date ya kwanza ili aweze kuchangia mawazo baadae ?
NB: kuna sababu iliyokufanya uchague jina hili la yule msichana wa Ausria aliyetekwa miaka mingi au umelipenda tu ?
Uporoto01, ni kweli yanakuwepo maongezi baada ya date....ila bado nafikiri msichana aliyekomaa zaidi hahitaji kupata approval ya rafiki. Unaweza ukaenda na rafiki kwenye date yako..then akakushauri mkaka hafai..kumbe yeye kampenda...ohhh!!! yapo hayo.
About my name...hili jina ninalipenda.... ni jina la mmoja wa mabinti wa Ayubu (kwenye biblia)..likiwa na maana "horn or child of beauty". I just like the name....
i like your name too,and have been asking myself about its origins......happy its from the bible.....
Hapo kuna ukweli ndani yake. Kama muhusika bado hana uhakika na anahitaji convincing, omba mungu msindikizaji awe upande wako.
Hi dearest,can you explain tu me this 'uchumba wa muda' thingy in simple english please lol!
We are good my dear,i hope he does not see see this thread,coz he is my ATM for a very long time.....kila kitu ninunuliwe.....ndo ukichwa wenyewe wa nyumba huo kwangu......will change anyway.....l.o.l:laugh::laugh: