Wanaume sio ATM!!!

Kuna dada mmoja tunafanyanae kazi alisema namshangaa sana fulani anakuja kunitongoza huku kavaa pete ya ndoa na anategemea kabisa nimsikilize,sasa wewe unakuja kuongea na Lizzy na hapo chini umeandika Miss U AD ,think TF think.Mie hapo chini nimewaweka Machinga.

Hahahaha Fynest nadhani ujumbe umekufikia bila chenga!Asante dearest!
 
Tatizo baadhi ya kina kaka hata ukitaka kula kiazi anakulazimisha ule pizza eti sababu anazo. Mnaweza kukaa hata chini ya mwembe mkaongea, hataki anataka mwende beach. Kisha pembeni analalamikia matumizi makubwa na akichacha kidogo anakukwepa kinoma. sio ATM lakini wabadilishe tabia

Kwasababu tu mtu kakupeleka huko kote haina maana uanze kuomba na kumletea list ya matatizo yako yote au kumletea watu wa ziada kwenye date!
 
Kuna dada mmoja tunafanyanae kazi alisema namshangaa sana fulani anakuja kunitongoza huku kavaa pete ya ndoa na anategemea kabisa nimsikilize,sasa wewe unakuja kuongea na Lizzy na hapo chini umeandika Miss U AD ,think TF think.Mie hapo chini nimewaweka Machinga.
Dah!!! Ndio umeamua kuua mazima kabisa l.o.l
 
Kuna dada mmoja tunafanyanae kazi alisema namshangaa sana fulani anakuja kunitongoza huku kavaa pete ya ndoa na anategemea kabisa nimsikilize,sasa wewe unakuja kuongea na Lizzy na hapo chini umeandika Miss U AD ,think TF think.Mie hapo chini nimewaweka Machinga.

nilikua nakutafuta,kumbe uko huku.'we need to talk'.
 
ni kweli kuna wanawake wanakera, hivi kwanini wanawake wajirekebishe na kuishi maisha ya kujitegemea, alafu sababu ya kwenda na rafiki kwenye appointment kunaonesha kutokukomaa na kujiamini, kwa nini usipange sehemu ambayo unahisi utakuwa comfo ili kuepusha rundo la watu nyuma yako, and by the way mambo unayoenda kujadili huko sio matangazo ya vifo ambayo kila mtu anatakiwa kujua. jifunzeni kujitegemea na muache kubandika wanaume majina ya ajabu.
 
Kuweni wakali!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom