Wanaume sio ATM!!!

Hivi kuna wadada wa hivi siku hizi??? Ai mie siwezi uinitoa out ujue nina pesa ya kula na kunywa (valuer) na tax ya kunirudisha home

Wapo sana DA, tatizo lao ni ulimbukeni, wanasahau kuwa siku hizi waoaji ni wachacheeeeee! Sometimes wanadhani wanakomoa kumbe WANAJIDHALILISHA TU!
 
Afu uatkuta inapanga foleni kwa babu wachanjwe machale eti hawaolewi kumbe mwenyewe mchawi!
 
Hapana LD sikatai kwamba wachunaji wapo thats why nikasema inategemea mnakutana wapi..., lakini mara nyingi nadhani kwenye hizi dates nyingi mwanzo dada anakuwa muoga kwenda sehemu peke yake anataka company... kwahiyo suala la company on the first day peke yake sio baya sana kama hao dada watakuwa wastaarabu na kunywa maji na sio kubugia pombe kama vile TBL ni ya baba yangu.

Basi awe wazi kwa kusema atakuja na nani. Na mi sioni aibu, mdada aje na wenzake first out hatutoki kabisa
 
Depend mnakutana wapi..., from what I think kama dada hajakujua vizuri, atakuwa ameshaongea na marafki zake kuhusu wewe kwahiyo anataka kuwaonyesha alafu wengine ile fear ya kwamba wewe utataka kupeleka mambo kwa kasi ile inakuwa ni kama (TUTA KWENYE BARABARA) ili uslow down na usitake advantage... thats what I think lakini I might be wrong...
VOR sawa kama atakuja na marafiki zake she makes sure that hao rafiki zake they sit on their own table and pay for their own drinks maana i have a date na yeye and not with his friends
 
Mkuu shida ikija haipigi hodi.., yaani hapa ninachosema inabidi ile imani ya kwamba Mwanaume inabidi atoe inabidi iishe, maisha ni kusaidiana kwahiyo siku nikiwa broke hakuna ubaya mwenza wangu akinitreat..., hayo ndio maisha. Yaani yeye akipata shida am the first kuambiwa na mimi nikipata hivyo hivyo na isiwe one sided

Komredi unachosema ni sawa lakin ktk approach ya kwanza kakuomba umsaidie mara ya kwanza mpe tu, wala usimwambie utamfuata ukipata shida. We ukipata shida mwambie tu bila hodi kama alivyokwambia then ndo utamjua ni mtu wa aina gani
 
Kuna wadada wengine wastaarabu watakuuliza mapema kabisa "Can i come with a friend"?
 
Du inaudhi sana na dawa ni kumgeuzia kibao, unamtongoza huyo shoga yake kabla ya kinywaji halafu unawaambia kwa round ingine ni mifukoni mwao ww unawamwaga wote walipe bill ww unasepa.
Mwenye hawezi kuja na mwenzie labda malaya au mke wa mtu unamtaka
 
Hapana LD sikatai kwamba wachunaji wapo thats why nikasema inategemea mnakutana wapi..., lakini mara nyingi nadhani kwenye hizi dates nyingi mwanzo dada anakuwa muoga kwenda sehemu peke yake anataka company... kwahiyo suala la company on the first day peke yake sio baya sana kama hao dada watakuwa wastaarabu na kunywa maji na sio kubugia pombe kama vile TBL ni ya baba yangu.

Na ninavyoamini mimi, msichana mwenye akili iliyokomaa anajua kabisa ni jinsi gani akutane na mtu kwa mara ya kwanza. Haiwezekani Voice wewe nikakubali kukutana na wewe maeneo nisio yafahamu kwa mara ya kwanza. Najipanga kabisa nakuwa na uhakika wa nauli mfukoni mwangu na any immegence so nakuwa na hela ya kutosha kabisa. Then nakuambia tukutane mahali ambapo najua kabisa nitakua na amani.
 
Basi awe wazi kwa kusema atakuja na nani. Na mi sioni aibu, mdada aje na wenzake first out hatutoki kabisa

VOR sawa kama atakuja na marafiki zake she makes sure that hao rafiki zake they sit on their own table and pay for their own drinks maana i have a date na yeye and not with his friends
Ni kweli tena nchi za watu ukitaka kumlipia dada wa watu atakuuliza kwa mshangao unachofanya au yeye atalipa ya kwanza na wewe ya pili..

Alafu wakuu nadhani sometimes ni sisi wenyewe wanaume ndio tunaojilengesha am sure first date hata kama mdada atakuja na rafiki yake akitaka kuchangia Bill am sure wewe kwa kutaka kuimpress umati utamwambia "aaahhh acha bwana hii kitu kidogo"....

Au Shemeji vipi mbona hunywi bana..., Kunywa tu jisikie upo nyumbani...
 
Na ninavyoamini mimi, msichana mwenye akili iliyokomaa anajua kabisa ni jinsi gani akutane na mtu kwa mara ya kwanza. Haiwezekani Voice wewe nikakubali kukutana na wewe maeneo nisio yafahamu kwa mara ya kwanza. Najipanga kabisa nakuwa na uhakika wa nauli mfukoni mwangu na any immegence so nakuwa na hela ya kutosha kabisa. Then nakuambia tukutane mahali ambapo najua kabisa nitakua na amani.
Sasa hautaki yule rafiki yako wa karibu au dada yako na yeye anione.... (au si mnaweza mkaja alafu mkakataa kunywa bia, pale mkanywa maji peke yake?)

Point yangu hapa LD ni kwamba mpenzi wangu akija siku ya kwanza na mwenzake sio lazima kwamba ana nia mbaya (lakini baada ya wao kukaa na kuanza kuona matanuzi yao ndipo taanza kujiuliza motive yao)
 
Yani we ukiombwa unatoa tu, habari ya kupewa kesho itajisemea kesho yenyewe. Because We don't know what tomorrow has to offer!!!
Baada ya muda ndio taona alafu haya mambo ya vocha ya alfu 10,000/= takushauri ubane matumizi.., lakini ukiniomba kwamba umekwama hauana kabisa sukari au mwenye nyumba anakufukuza, taangalia jinsi ya kukusaidia nikitegemea kwamba wewe ni ubavu wangu na mimi siku yakinikuta ninajua sehemu ya kukimbilia au yasiponikuta ninajua nimemsaidia mwandani wangu..., lakini hii issue ya vocha.., msaada wa kukwambia ubane matumizi nadhani utakuwa unatosha
 
Ni kweli tena nchi za watu ukitaka kumlipia dada wa watu atakuuliza kwa mshangao unachofanya au yeye atalipa ya kwanza na wewe ya pili..

Alafu wakuu nadhani sometimes ni sisi wenyewe wanaume ndio tunaojilengesha am sure first date hata kama mdada atakuja na rafiki yake akitaka kuchangia Bill am sure wewe kwa kutaka kuimpress umati utamwambia "aaahhh acha bwana hii kitu kidogo"....

Au Shemeji vipi mbona hunywi bana..., Kunywa tu jisikie upo nyumbani...
Hahaha kweli kabisa kwamba "No no dnt pay i wil take care of the bill"
 
Hivi kuna wadada wa hivi siku hizi??? Ai mie siwezi uinitoa out ujue nina pesa ya kula na kunywa (valuer) na tax ya kunirudisha home

Wapo wengi sana....yani wao mwanaume anakua sio mwenzi ila tegemeo tu!!!
 
Sasa hautaki yule rafiki yako wa karibu au dada yako na yeye anione.... (au si mnaweza mkaja alafu mkakataa kunywa bia, pale mkanywa maji peke yake?)

Point yangu hapa LD ni kwamba mpenzi wangu akija siku ya kwanza na mwenzake sio lazima kwamba ana nia mbaya (lakini baada ya wao kukaa na kuanza kuona matanuzi yao ndipo taanza kujiuliza motive yao)

Kumbuka hapo bado hajawa mpenzi wako ndo unataka umwage sera kama zitakubalika awe mpenzi wa ukweli.Ni first date mkuu!!
 
Hapo umeongea ukweli.. mapenzi sio kukomoana ni kusaidiana sasa unapodemand kitu unaweza ukawa unamuaribia bajeti mwenzako...

Na kweli kama dada anakuwa mstaarabu hata huyo kaka angekuwa anasaidia popote inapobidi, wakati umefika tuone kwamba maisha ni kusaidiana kwa mambo yote na mtu anapotoa kitu bila kuombwa its has got more meaning kuliko kumlazimisha, hapo ni kama unamfanya ananunua hilo penzi...

Ndo maana nasema vitu vingine ni kujiharibia mwenyewe kwa kuonyesha tamaa!!Mshkaji alikua yuko tayari kumfanyia vitu vingi kweli bila yeye kujua....ila ndo hivyo tena!!!
 
Yaani my first date with u unaniijia na rafiki zako kisa security no way.

Ni ushamba!!!Na huyo anaekubali kumsindikiza mwenzake kwenye date wakati sio dabo deiti sijui anakua anafikiria nini!!:thinking:
 
Baada ya muda ndio taona alafu haya mambo ya vocha ya alfu 10,000/= takushauri ubane matumizi.., lakini ukiniomba kwamba umekwama hauana kabisa sukari au mwenye nyumba anakufukuza, taangalia jinsi ya kukusaidia nikitegemea kwamba wewe ni ubavu wangu na mimi siku yakinikuta ninajua sehemu ya kukimbilia au yasiponikuta ninajua nimemsaidia mwandani wangu..., lakini hii issue ya vocha.., msaada wa kukwambia ubane matumizi nadhani utakuwa unatosha

Mkuu first date niwe mwandani wako?? Kwa imani au!! Afu nitumie nitabana matumizi kaka angu!!
 
Nimemwelewa sana lizzy, yani hiyo mimi ndo naomba vocha kwako Voice, au hutaki kuwa ATM wangu jamani.
Nitumie ya 10,000 basi!!

Hhahahahaha....mpaka na kiasi unapanga!!!!:coffee:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom