Eh unajidanganya ukimpata mtu sahihi utaona raha ya ndoaMkuu, kupika kuosha vyombo na vingine sio kazi ya wasichana ni kazi ya jinsia yeyote tu
Kuoa ni kuongeza gharama ambazo mhusika hujitakia, Pamoja na stress na kupata magonjwa ya ajabu.
Ndio maana wengi huamua kutafuta watoto tu ndoa hapana.
Kumbuka maisha yamebadirika sio Kama zamani mwanamke lazima uolewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
😂🤣🤣🤣🤣 haya bhanaNasubiri nikue kidogo..
Mtanikoma maana nitafidia hii miaka niliyokaa kimya kimya
Natafuta humu je wewe?Ww umeshaolewa ...?
Yess bishoo hasWaaaa
Acha kuwadanganya wenzio mbona uko na mwenzio wa enjoy.Sisi tulio kwenye ndoa ngoja tusome tambo za vijana maana nasikia kuwa single kuna raha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila unakuwa unalea mapema ninzuri pia.Mkuu kuoa mapema ni sawa na kuondoka kwenye shelehe mda wa kula
Huna haja ya kutafuta tena mkuu niko hapa ushanipata karibuNatafuta humu je wewe?
Eh unajidanganya ukimpata mtu sahihi utaona raha ya ndoa
Jamani wanaume ambao hamjaoa shida nini kwa maana zamani ilikuwa mnasingizia tunapenda hela na sasa mnasingizia corona hii hali ya kuishi wenyewe hamchoki just imagine everytime unafanya vitu mwenyewe kupika , kufua , kuosha vyombo ukiumwa hakuna wakukisaidia majuku yote hayo .
Hamuoni ni muda wakutulizana na kupata msaidizi?
Tuchambue hili jambo mnakwama wapi?
😁🤗
Kweli eh haya
mkuu kwenye kupata mtu sahihi ndo inabidi iliwezekana kumshirikisha mungu, ukikosea kuoa, utahitaji busara sana kurejesha amani na furaha kwenye maisha yakoEh unajidanganya ukimpata mtu sahihi utaona raha ya ndoa
una mpango wa kuoa?Mkuu, kupika kuosha vyombo na vingine sio kazi ya wasichana ni kazi ya jinsia yeyote tu
Kuoa ni kuongeza gharama ambazo mhusika hujitakia, Pamoja na stress na kupata magonjwa ya ajabu.
Ndio maana wengi huamua kutafuta watoto tu ndoa hapana.
Kumbuka maisha yamebadirika sio Kama zamani mwanamke lazima uolewe!
Sent using Jamii Forums mobile app