BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,218
- 39,048
Pizza ? KFC ? Wewe ni mwanaume wa Dar, nyoka kasoro sumu, simba kasoro meno, chui kasoro makucha, zebra kasoro mistari ya pundamilia....niishie hapo kuna kitu hakiko sawa.
Hiyo ni wewe
Na kumbuka mwanaume utavyojiingiza ndo utavyoliwa
Binafsi kwa mschana ambae sina marengo nae sina haja ya kujitutumua
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa sinza nishakula mara2 tuKuna watu wanatumia pesa kaka kisa demu,, bora uende sinza tu upate huduma usepe
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shambaNigga huwa napeleka madem uko kma huna ela wewe tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wa sinza nishakula mara2 tu
Ni bora nile nyeto
Yaan dem anajipanga mstarin na ni total stranger mkiwa chumban plass aibu 2% hakuna cha mapenz wala nn ni kutupa hella
Sent using Jamii Forums mobile app
Kfc na pizzahut unapeleka wanafunzi maana watakula chips kuku...wakubwa tuna viwanja vyetu ukimpeleka mtu hachomoki
Kwaiyo tuanze kucheza na la charz na corner bar( ambiance). Machimbo haya wanafunzi wa mlimani, ardhi, ustawi wananufaika nayo kweli kweli
Ova.
yani mpka hapo nmegundua kuwa mleta mada ana sura ya mbuzi na hajui kutongoza
ntarudi♂️♂️♂️♂️
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shamba
Huko kwenu Dar huwa napita mara moja moja, angalau kama unataka kutumia hela kuna migahawa kama Addis in Dar, EpiDor, Pasha Turkish Cuisine etc kidogo unakuta kuna chakula cha kitofauti na kinakuwa fresh, hayo mapizza kama lazima uyale basi nenda hata Zuane lakini ndio hivyo bei za huko usipokaa vizuri pamoja na vimiminika utakuta ni 100,000 kwa mtu mmoja kama umezoea hivyo vyakula vya haraka vya KFC ambavyo ni 10,000 mpaka 30,000 unaweza ukaahirisha mpango wa kumlipia huyo uliyoenda naye ukatokea mlango wa nyuma.Kama vipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums