Wanaume Shortcut ni Bora.

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,209
39,020
‭ Wanaume twende sawa tena kwa umakini sana. Unakutana na demu somewhere unaomba namba sababu amekuvutia/umemtamani utaanza mawasiliano nae na hapa utamtafuta sna pamoja na kumpigia kwa sana tuna assume vocha=10k.
Unakuja omba meeting atakubali so hapo atahitaj uber kwa madem wa mjin hawa go and return uber assume=15k kumbuka demu unameet nae for the first time so utataka umpeleke sehm nzuri akuone una pesa kama KFC/Pizahut au shm yyt nzuri minimum cost=50k.
Sijamaliza bado kumbuka utaanza kumpa vi offa vya hapa na pale ili kumvuta cost=50k ataomba pesa tu assume 50k kumbuka pia utakuw na root kibao za kumtafuta cost=20k.
Ushampata sasa naenda direct wkt wa kusex utataka lodge au hotel nzuri cost=80k. Kumbuka hizi cost nme assume tu na ni kwa mwanaume ambae atatumia week tu kumaliza mchezo wote, tunakuja total=275k.
Hapo unakuja ona kuwa wanaume tunapoteza pesa kizembe sana kisa K na bada ya kukupa demu unamwacha, wakati mitaa kma sinza unapata huduma haizid 20k na ukienda masaki hku unapata high class haizid 50k. Hapa unaona kuwa siku zote shortcut ndo best way usitake kutumia njia ndefu ambyo haina msaada itakufilis SHTUKA.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pizza ? KFC ? Wewe ni mwanaume wa Dar, nyoka kasoro sumu, simba kasoro meno, chui kasoro makucha, zebra kasoro mistari ya pundamilia....niishie hapo kuna kitu hakiko sawa.

Nigga huwa napeleka madem uko kma huna ela wewe tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwaiyo tuanze kucheza na la charz na corner bar( ambiance). Machimbo haya wanafunzi wa mlimani, ardhi, ustawi wananufaika nayo kweli kweli

Ova.
 
yani mpka hapo nmegundua kuwa mleta mada ana sura ya mbuzi na hajui kutongoza
ntarudi‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nigga huwa napeleka madem uko kma huna ela wewe tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shamba :D
 
Ni pm na namba ya dem wako
yani mpka hapo nmegundua kuwa mleta mada ana sura ya mbuzi na hajui kutongoza
ntarudi‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️


Sent from my iPhone using JamiiForums




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hizo Pizza Hut na KFC ni migahawa ya hovyo, wanauza vyakula vya kupika haraka haraka kwa kizungu wanaita "fast food" kwa wenzetu hiyo migahawa ilipoanzia ukimpeleka mwanamke anayejielewa sehemu kama hizo unaonekana kapuku aliyetukuka "a very cheap fellow", sasa nyie huko Dar ndio mnaona eti mna hela kwa kula kuku na mikate iliyojazwa manyama ya hovyo....kuleni vitu organic kutoka shamba :D

Hahahahaha sawa bhana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kama vipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums

IMG_6859.JPG
 
Kama vipi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
Huko kwenu Dar huwa napita mara moja moja, angalau kama unataka kutumia hela kuna migahawa kama Addis in Dar, EpiDor, Pasha Turkish Cuisine etc kidogo unakuta kuna chakula cha kitofauti na kinakuwa fresh, hayo mapizza kama lazima uyale basi nenda hata Zuane lakini ndio hivyo bei za huko usipokaa vizuri pamoja na vimiminika utakuta ni 100,000 kwa mtu mmoja kama umezoea hivyo vyakula vya haraka vya KFC ambavyo ni 10,000 mpaka 30,000 unaweza ukaahirisha mpango wa kumlipia huyo uliyoenda naye ukatokea mlango wa nyuma.:D
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom