mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,650
- 4,481
- Thread starter
-
- #81
Huyo jamaa ni legend alikuwa anatafta Exit door [emoji16][emoji16][emoji16]
Siungemuambia Frank ndio alikubikiri mwaka jana na ulimpa mwenyewe tuu shida nini na ni bikra ya mbele ya nyuma ipoKwaiyo tangu ananitongoza alitafuta exit door maana mwanzo tunaaza swali lilikuwa hilo mpk Leo hii ni hilohilo tu
Muache kudeti na vitoto, mwanaume mwenye future uangalia IQ ya mwanamke na Sio kuangalia uchi.
Uchi kila mtu anao but IQ Sio kila mtu anayo
Hizo ni tabia za mtu mzinziZee tu basi tu king’ang’anizi
Mwanamke kamwe hawezi kumsahau mwanaume aliyemtoa bikra ,Tatizo linaanziaga hapo[emoji28]
we vip. ukiulizwa mwambie bado una utepe (over) hata kama una 50 years. achana na huyo jamaa njoo kwangu mamamzungu niko chini ya 29 years najielewaa
Angeitaka bikra toka mwanzo ungempea[emoji23][emoji23]
Unakuta hata hilo lundo la wadada anaokwambia hajabahatika kupata hata mmoja mwenye bikra maisha haya yana mtihan had inachosha 😀😀😀
Kiroho mtu anayeifungua ile njia takatifu ielekeayo kwenye kiini ndiye mwenye mamlaka nayo; na huyo ndiye soulimeti wa kweli. Mtoa damu!
Ingekuwa tunaoa tuliowatoa bikra hata hizi purukushani tunazoziona kwenye ndoa zisingekuwepo. Kusingekuwa na ishu za vibamia na mabwawa - na hata laana na mamikosi yanayotokana na kubeba mamizigo ya watu huko maana kusema kweli wengi tunaishia kuoa wake za watu (kiroho!)
Ndiyo maana jamaa aliyemtoa bikra demu/mke wako akimkomalia anamla tu maana tayari wamo katika maagano ya damu...maagano ya kudumu!
View attachment 2692846
Ni kweli jamaa ni wa pili kwako?
Tuanzie hapo kwanza...
Jamaa kahisi umemfunga kamba...na pengine yuko sahihi [emoji16][emoji16][emoji16]
All in all, maongezi ya aina hii hayana faida kwa mwanaume
Sisi wanaume ututoe kwenye utopolo huo..
Dada umedate na mvulana(haijalishi umri, nazungumzia akili na tabia, huyo ni mvulana)
Tungefahamu miaka yenu nadhani ndio tungejua tukujibu vp.
Kawaida hyo huwa tukiwachoka ndio tunatafuta sabb za kuwaacha..
Your days are counted!!!
umetoa siri za kambi....never ever again! Ukipata mwingine usiwe kiherehere, siku hizi wanaume ni wachache, wengi ni wavulanaKwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Ana umri gani uyo mwanaume
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Huyo bado hajawa matured....mwanaume serious anaanzia pale alipokukuta mambo ya nyuma hayamuhusu
Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa watu kukaa na kuanza kuongelea mahusiano yao ya nyuma na mwenza wake.
Ila somo kubwa hapa ambalo wadada wanapaswa kujifunza ni kwamba katika mahusiano serious (hasa ndoa) thamani ya mwanamke ni bikra yake, hili mtake msitake lakini ndo ukweli. Wanaume huwa tunavumilia tu kwa kukwepa kuyatia akilini mahusiano yenu ya mwanzo lakini sisi tumeumbwa na dominance ndani yetu, kamwe hatuchukulii poa kwamba kuna mtu mwengine ulimvulia chupi, ikiwa ni jana au miaka 20 nyuma.
Hivi wanawake hamjiulizi kwanini bikra mnayo nyinyi tu na wanaume hatuna? that's your seal tape! Ikiwepo ni value kwa mwenye mali na isipokuwepo ndo just tu kilichopo kwa mtumiaji!