Mwami Ntale
JF-Expert Member
- May 26, 2018
- 1,114
- 2,988
Mie badhani hapa mpumbavu ni wewe.Ulishatiwa mno,bikira huna sasa unajuta na kuishia kuwaita wanaume wapumbavu.Binti hujawaelewa hawa wapumbavu.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kuwavulia vyupi kabla hamjaoana.
Bikira saa hizi jua limezama?Mie badhani hapa mpumbavu ni wewe.Ulishatiwa mno,bikira huna sasa unajuta na kuishia kuwaita wanaume wapumbavu.
Ni ujinga wa hali ya juu sana kwa watu kukaa na kuanza kuongelea mahusiano yao ya nyuma na mwenza wake.Binti hujawaelewa hawa wapumbavu.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kuwavulia vyupi kabla hamjaoana.
Labda stori yako ya kutolewa bikra, ina mastaili ambayo wewe hujawahi mpa..!!Tuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF
Huyu akili zake siyo nzuri bac amfuge yeye bikira kwenye banda chizi.njoo kwagu my dearHata mimi sielewi mtu ana kuganda umwambie ukweli unapita Kona hii et anakulaumu kabisa kwanini unamficha unaficha nini niwaulize nyie wanaume mnatakaga nini na mtu mumemkuta sio bikira
Na wa kuwaowa kabla ya kuwavua chupi karne hii ni wa kuhesabika..!!Binti hujawaelewa hawa wapumbavu.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kuwavulia vyupi kabla hamjaoana.
Basi sio mwanaume wako wa pili ndio maana unasema ukimwambia mengine atakufa.Yaani sijui imekuaje nikaongea maana nimekwepa sana hilo swali zaidii ya miaka ila mtu anakuganda what else nikimwambia mengine si atakupa wanaume wengi ni wagonjwa
Wanawake huja kutambua baadaye sana tena kwa kuchelewa kuwa idadi ya wanaume aliowavulia chupi inaweza kumkosesha mume endapo mpenzi wake wa sasa aliyeonyesha nia ya kumuoa atajua
Na ndio maana hapa wanawake wengi huwa wanawadanganya wapenzi wao
Ipo hivi naturally wanaume tunapenda kujua background ya mwanamke kama vile wanawake wanavyopenda kujua future ya mwanamume kabla ya ndoa
Kako na Umri gani hako ka Mkijana?
Na wewe miaka yako ni ngapi?
Si kwa ubaya....
Mi naona mwanamke hutakiwi kabisa kumwambia mtu mambo ya ma ez zako na mambo ya kutolewa bikra ,yeye hata akiongea vipi ww usiongee mwache yeye aongee tu na hata akiuliza tafuta namna nzuri ya kumwambia ili kulinda uhusiano wenu .
Ukishamhadithia tu hisia zinaanza kupungua.
Mtu ambaye akupendi hakosi kukutafutia sababu za kukuacha , unaweza ukataniana nae tu ukasikia umemtukania mama yake.
Kwanza tengua kauli huyo siyo MWANAUME bali ni MVULANA
Tafuta wanaume na sio WAVULANA
Ulikua darasa la ngapi na ulijisikiaje tamu chungu au vyote
Kiufupi huyo ni Mtoto bado,watu wanaoa wake za watu Tena wenye watoto tu wakubwa
Tusimulie na sisi kidogo tujue ili tukushauri vizuri
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
you better tell him early afanye maamuziTuna mahusiano ya muda mrefu tu zaidi ya mwaka, huyu jamaa tangu naanza nae mahusiano amekuwa akilazimisha nimwambie kuhusu background yangu ila mimi namkwepa
Yaani yeye kazi yake ni kunihadithia kuhusu ex’s zake mara ooh mara uuh anyway mimi sijajali sana kuhusu hilo
Katika story story tukajikuta tumeingizia hiyo mada tena tunatania basi ye kusema ashatembea na dadaz wengi tu na Mimi nikamwambia yeye ndio wa pili kwangu
Swali likaja ilikuaje ukatolewa bikira… nikamuelezea ilivyokuwa tukaagana leo siku ya 2 hatuwasilianii
Kwani kosa langu nini hapo nyie wana JF