Wanaume Serious Njooni Mnishauri!!

asee duniani wawil wawil , hivi majuzi yalinikuta haya haya yako mkuu amini usiamini, nikataka had kuleta uzi humu sema nikatingwa sikuweza, ni hivi, wiki 2 zilizopita nilimuweka nyama demu wangu , na nliweka kweli kweli kiasi kwamba tulikesha hadi saa 11 asubuhi ndo tukalala , na nikamuaga kwa mechi ya asubuhi saa tatu tatu hv had saa nne na hata sikukojoa, na hata kabla ya hapo huwa ni fresh tu ,
Juzi juzi nikapata slope moja hivi,, nimeingia uwanjan yani sijiamini kabisa sema nilikuwa fresh, tatizo lilianza pale nilipovaa kondom, asee athuman mfupi aligoma kabisa katukatu , mtoto anataka kulamba koni wapii, ikabidi nijiongeze fasta nikazuga nimepokea simu ya maana nikamtoa nikamrudisha kwao na baada ya hapo kila akinitafuta sijibu mesej wala sipokei simu yake, binafsi nimegundua sababu ni harufu aliyokuwa anaitoa yule bibie , ndo maana mzuka ikakata kabisa , kwako ww nahisi hofu inakusumbua mkuu , ebu rudi kwanza kwa dem wako afu utaleta mrejesho hapa
ukiwa fresh hata kama ana harufu.inasimama tu
 
Naomba video au pic ulivyoshindwa au number ya demu ili anihakikishie kama game ilikuwa nusu nipm mkuu
 
Pole sana binti uliekutana na kijana wa jinsi hii. Hakika mabinti wanavumilia mambo mengi sana
 
Mkuu wala ucwaze sana. Hii inatokea mara nyingi kwa wanaume hasa linapokuja swala la mpenzi mpya. Na pili, kama ulitaka kupooza tu bas jua ya kwamba saikolojia yako ilijiweka kwamba pindu ukiridhika bas ndiyo satisfaction yako na the earlier the better kwasababu hauna feelings halisi na tendo lenyewe.
Mm namini kabisa haumpendi huyo msichana kwa malengo marefu ya baadae.
 
Acha porno, acha kujichua, fanya mazoezi, acha ngono zembe,

Yaani umekaa siku tatu bila kuwaza demu unakuwa na wasiwasi alafu unataka wanaume wa kweli waje wakushauri, rafiki angu wenzako tunakata mwezi Tunafanya mazoezi, na Majukumu mengine
Serious, hata mm nilipatwa na tatizo hilo lkn hatimaye nilichukua hatua nimepona
 
Kwa hiyo ndiyo ulivyosherehekea Krismasi, au siyo? Haya bwana, jukumu language ni kukupa ushauri. Kuna mambo kadhaa yanajitokeza hapa:

Kwanza, ni suala la ugeni. Yaani kila mmoja wenu ilikuwa hana "uzoefu na mwenzake" kiasi cha kuwa na hofu ya "kushindwa". Ndiyo maana hii haikuwa tatizo kwa yule wa jamani. Yawezekana pia ulipania/ ulikamia sana!

Pili, ponoraphy na kujichua ndizo tabia mbaya kuu katika mahusiano. "Zinakuua" kisaikolojia na kihisia na ukiendelea hutaweza tena kulimudu tendo hili. Badala ya kujichua na kuangalia pono, jihusishe na "constructive activities" kama kujisomea (vitabu, magazeti n.k), kufanya mazoezi (jogging, kuendesha baiskeli n.k), kutembelea ndugu na jamaa, au kusaidia kazi za nyumbani (kusafisha nyumba, kupruni Maya, kufyeka nyasi, kulima bustani za mboga n.k.

An middle mind is the devil's workshop!
 
Heri ya sikukuu Wakuu.

Mimi ni kijana wa Miaka 24.
Kuna tatizo nimekumbana nalo janaa.

Nilipata kadem kadogo around 19y juzi. Nilikasomesha freshi kakanielewa.
Nilikapeleka ndani tukaanza mambo yetu. Kiukweli mtoto anayajua na kama koni alilamba sana.

Nilitumia kama dak 4 ndipo wazungu wakachomokaa. Nilitumia kondom.
Sasa ishu ikawa kurudia bao la pili. Kiukweli alinifanyia maujanjaa mpaka mashine ikasimama ila akivalisha condom ngoma inalala.

Tulilazimisha kuvalisha kondom hivyohivyoo ikiwa haijasimama sawa. Sasa ishu nyingine ikawa ikisimama nakimbilia kwenye papuchi, nikijaribu kuingiza tu mashine inalala. Tulijaribu kufanya hivyo mpk tukachoka.
Ikabidi nipuge pull mbele yake, wazungu walitoka mashine ikiwa imelegeaa.

Sasa hali hii imejirudia mara ua pili. Lkn sikuwahi kuwa na tatizo hili kwani wkt nipo na mpz wangu wa zaman nilikuwa naweza kwenda dak 40 bao la kwanza na ninaweza kurudia tu baada ya dak 4.

Lkn kilichotokea juzi ni kwamba nilivyoamka asubui nilicheki porno, na hata siku ya kwanza kunitokea hivi nilicheki porno.
Sijajua kuna uhusiano gani na hili.

Pia nimekuwa muangaliaji wa picha hizi na hata kupiga nyeto kila siku.
Lkn sion kama ni tatizo kwani nimekuwa nikicheki na kupiga nyeto kwa muda mrefu lkn dem wangu wa zaman alikuwa anaomba poo.

Sasa tangu juzi mashine haisimami tena na sina hata hamu na mwanamke yyte.
Sijataka tena kuangalia porno kabisa.

Sasa najiuliza kwanini sina hamu ya mwanamke? Kwanini uume hausimami nikimuona mwanamke kabla ya hili tatizo la juzi kutokeaa?

Kuna siku nilikuwa na genye balaa na uume ulikuwa umesimama mpaka unauma, nikaenda kutafuta malaya ila cha kushangaza nilivyofika kwa yule malaya mashine haikusimama kabisa. Nahisi nilikuwa na mawazo mengi hasa kuhusu Haya maginjwaa. Lkn kesho yake nilipo kutana na dem wangu nikapiga mechi freshi

Kiukweli nimekosa confidence na hapa Manzi wangu wa zaman tumerudiana. Naogopa asije kushuhudia hili tatizo nikiwa nae mana atashangaa sana.

Naombeni mniambiee hii imechangiwa na nini? Kwann sina hamu na dem na mashine haisimami?


Simple, akili yako imesha vurugika kuwa mpenzi wa porno na masturbation. Usipoangalia utajikuta unaanza kuwaza kushikishwa ukuta na kushindiliwa mavituz makalioni. Mrudie Mungu wako na ujute madhambi yako ya kuangalia porno kisha kufanya masturbation.
 
Back
Top Bottom