Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,251
nilisikia wapi nini?Ulisikia wapi, wewe ungefanyaje
ningefanyeje nini?
nilisikia wapi nini?Ulisikia wapi, wewe ungefanyaje
Uki
Ulikuwa unajifelisha, maana kumwambia mwanamke udhaifu wako wao hutafsiri kama unatafta kuonewa huruma. Hivyo ataanza kukudharau on the spot that you are less of a man compared na wenzio..Wewe ni laini laini ndio mwanzo wa kuanza kukupelekesha, unatakiwa ukaze hata kama unajua unazingua ila kaza mwanamke atatulia tu.
Mie inafikiaga stage demu kashakufumania na meseji unamkataa..Mie pale sijapiga bby. Anashuka na kukubembeleza niambie ukweli ntakusamehe,,, don't fall for that lie...Unakaza mwanzo mwisho mie kesi za hivyo nashindaga tusababu nakuwa bold. Wanawake tumeumbiwa sisi tuwatawale chochote utachomwambia as long as upo serious atakuelewa tu.
Dah...pole sana bro...kwani ulilewa? 🤣 🤣🤭Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu.
Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au kwa nduguze, au mtandaoni kuhusu madhaifu ya wazazi wako. Wanawake kwao wanachukulia Siri hasi, Kama silaha ya maangamizi kukuumiza wewe mkiwa na migogoro.
Usiamini kwamba unapendwa, angalia pia na pochi lako, ukiona pochi lako linaanza kupungua, ongeza upendo kwa mkeo, mpakie na vumbi la Congo kumdatisha, tumia akili ya ziada, lakini kamwe usimpe nafasi ya kuwajua kwa undani wazazi wako
Uko sahihi,..ndio maana wazee wetu ndoa zilidumu..kila kitu kiwe na mipaka.
Mimi tangu nimezaliwa mpaka nimekuwa MTU mzima sikuwahi muona mshua akienda chooni.never.
Sasa wa kizazi chetu hatuoni haya kabisa kuzunguka na kopo la chooni mbele ya watoto-nalo hili ni tatizo.
Ukitaka watu wanaokuzunguka wakueheshimu ni lazima baadhi ya mambo yako binafsi uyawekee mipaka na usiri.
Si dhani kama, kusudu la Mungu kwa mtu mume ni kuangaika maisha yake yote kwaajili ya kulinda,kumlinda mwanamke awe vile anavyotaka yeye.Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu.
Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au kwa nduguze, au mtandaoni kuhusu madhaifu ya wazazi wako. Wanawake kwao wanachukulia Siri hasi, Kama silaha ya maangamizi kukuumiza wewe mkiwa na migogoro.
Usiamini kwamba unapendwa, angalia pia na pochi lako, ukiona pochi lako linaanza kupungua, ongeza upendo kwa mkeo, mpakie na vumbi la Congo kumdatisha, tumia akili ya ziada, lakini kamwe usimpe nafasi ya kuwajua kwa undani wazazi wako
Dogo analia, anasimulia eti baba yake alikuwa analelewa na mama yake, akamwambia demu wake, demu kasambaza umbea mtaani watu wote wanajua na maneno yamewafikia wazazi wakeDah...pole sana bro...kwani ulilewa? 🤣 🤣🤭
umejiropokea tu-unafikiri wazazi wako walivyokuwa na maisha ya hovyo basi kila mtu wazazi wake ni kapuku kama wako,Mzee wako alikuwa anakunya vichakani huko utamwonaje, acha kumwona.... siku hizi choo kipo sebleni hivyo utaona anavyoingia na kutoka.
Yes! Hoja yako ya mipaka ina mashiko, ila mfano wako ni mgumu sana.
Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu.
Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au kwa nduguze, au mtandaoni kuhusu madhaifu ya wazazi wako. Wanawake kwao wanachukulia Siri hasi, Kama silaha ya maangamizi kukuumiza wewe mkiwa na migogoro.
Usiamini kwamba unapendwa, angalia pia na pochi lako, ukiona pochi lako linaanza kupungua, ongeza upendo kwa mkeo, mpakie na vumbi la Congo kumdatisha, tumia akili ya ziada, lakini kamwe usimpe nafasi ya kuwajua kwa undani wazazi wako
umejiropokea tu-unafikiri wazazi wako walivyokuwa na maisha ya hovyo basi kila mtu wazazi wake ni kapuku kama wako,
stupid you!
Kuanzia sasa mpaka huko mileleLini?
Miss Natafuta usinipande kichwaniUki
Ulikuwa unajifelisha, maana kumwambia mwanamke udhaifu wako wao hutafsiri kama unatafta kuonewa huruma. Hivyo ataanza kukudharau on the spot that you are less of a man compared na wenzio..Wewe ni laini laini ndio mwanzo wa kuanza kukupelekesha, unatakiwa ukaze hata kama unajua unazingua ila kaza mwanamke atatulia tu.
Mie inafikiaga stage demu kashakufumania na meseji unamkataa..Mie pale sijapiga bby. Anashuka na kukubembeleza niambie ukweli ntakusamehe,,, don't fall for that lie...Unakaza mwanzo mwisho mie kesi za hivyo nashindaga tu 😂😂😂 sababu nakuwa bold. Wanawake tumeumbiwa sisi tuwatawale chochote utachomwambia as long as upo serious atakuelewa tu.
Exactly exactly exactlyEnyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu.
Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au kwa nduguze, au mtandaoni kuhusu madhaifu ya wazazi wako. Wanawake kwao wanachukulia Siri hasi, Kama silaha ya maangamizi kukuumiza wewe mkiwa na migogoro.
Usiamini kwamba unapendwa, angalia pia na pochi lako, ukiona pochi lako linaanza kupungua, ongeza upendo kwa mkeo, mpakie na vumbi la Congo kumdatisha, tumia akili ya ziada, lakini kamwe usimpe nafasi ya kuwajua kwa undani wazazi wako
SwadaktaExactly exactly exactly