Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

Ndio maana Mimi bwana bujibuji sijawai kumwamini mwanamke. Mwanamke anapenda pesa tu. Waleti ikituna bby zinakuwa nyingi kweli.
Bwana wee utaitwa bby mpaka basi. Kosa hela ata hataki kabisa mjuane.
Raha yao hawa ukiwa na hela unagegeda unaacha na kitafuta pisi kali nyingine
 
Kabisaaaaaaaaaaa nilishawah mfungukia mwanamke kwwamba baba anawatotto wengi bana kilichotokea
 
Uko sahihi,..ndio maana wazee wetu ndoa zilidumu..kila kitu kiwe na mipaka.

Mimi tangu nimezaliwa mpaka nimekuwa MTU mzima sikuwahi muona mshua akienda chooni.never.

Sasa wa kizazi chetu hatuoni haya kabisa kuzunguka na kopo la chooni mbele ya watoto-nalo hili ni tatizo.

Ukitaka watu wanaokuzunguka wakueheshimu ni lazima baadhi ya mambo yako binafsi uyawekee mipaka na usiri.
Sio siri za wazazi wako tu. Hata zakwako zote zisizofaa hapaswi kuzijua.
 
Kumwambia mwanamke madhaifi yako ni njia nyepesi ya kuelekea kufeli. A women has to keep wondering about you each and everyday.
Ajiulize tu we ni mtu aina gani maana hakusomi somi.

Kuna kipindi nilikuwa najieleza sana madhaifu ili kutojipaisha na kutafuta justification siku nikizingua, haikuwahi kunisaidia kitu.

Siku hizi bwana bwana!!
 
Uki
Kuna kipindi nilikuwa najieleza sana madhaifu ili kutojipaisha na kutafuta justification siku nikizingua, haikuwahi kunisaidia kitu.

Siku hizi bwana bwana!!
Ulikuwa unajifelisha, maana kumwambia mwanamke udhaifu wako wao hutafsiri kama unatafta kuonewa huruma. Hivyo ataanza kukudharau on the spot that you are less of a man compared na wenzio..Wewe ni laini laini ndio mwanzo wa kuanza kukupelekesha, unatakiwa ukaze hata kama unajua unazingua ila kaza mwanamke atatulia tu.

Mie inafikiaga stage demu kashakufumania na meseji unamkataa..Mie pale sijapiga bby. Anashuka na kukubembeleza niambie ukweli ntakusamehe,,, don't fall for that lie...Unakaza mwanzo mwisho mie kesi za hivyo nashindaga tu 😂😂😂 sababu nakuwa bold. Wanawake tumeumbiwa sisi tuwatawale chochote utachomwambia as long as upo serious atakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom