wanaume nyinyi siwawezi...kha....

Wema usizidi uwezo,

samtaims siwaelewi wanawake wa namna hii, jitu halina kipato, jitu lina watoto watatu, jitu lina umalaya uliokubuhu... Mtu bado unaomba ushauri, ushauri gani kama sio ujinga kung'ang'ania ukimwi tu!!!

mkuu,
umesahau, love is like blindness and illness, so adivice its only way to ill the victimes
 
can' touch this! can' touch this oooh samahani nimekumbana na avatar ya McHammer hapa! mmmh

Pole sana dada yangu!

Huhitaji ushahidi mwingine uliokusanya unatosha!

Wewe ni wa thamani mno na hukumbwa usononeke maishani!

Uamuzi uko ndani ya moyo wako! Usikilize moyo wako unakumbia nini cha kufanya!

Alaaniwe huyo mumeo kwa mateso anayokupa na kwa kutudhalilisha akina Baba wote duniani!
 
Wanawake bana mnanishangaza sana.
Sasa si wewe mwenyewe umempenda na kumuoa sasa analia lia nn?
 
Hivi ulishapima kama huyo jamaa hajakuambukiza HIV kweli?? Maana kama hauko salama halafu anakula vyako na mademu wengine ni wazi wengi mko katika hako ka-chain. Subiri ujifungue ukishakuwa sawa mmwage tu..NIna imani utapata mtu mwenye akili iliyotulia. Otherwise unaweza kuni-PM tukazungumza.....Unahitaji mapenzi wewe sio kuvurugwa vurugwa!!
 
Huyo Mama anasubiri aambukizwe ndo amtimue? Huyo sio mtu, ana PEPO la NGONO. Amtimue leo hii..
 
Hana huruma hata kidogo naasipoangalia atamuuwa kwa ugonjwa H I V achananae mpe rabo yake aende kwa hao malaya wake ,usimuonee huruma hata kidogo
lakini naomba uendelee kuwalea hao watoto

...Huu ndio upuuzi mwingine usiohitaji ushauri. Kwa nini abebe mzigo wa mtu ambaye ameshindwa hata kumuheshimu tu??? Huyu Bwana ni yatima? hana dada zake? hana ndugu zake? hana shangazi na wajomba zake? Mtimue na watoto wake apeleke mizigo yake inakohusika! Usijifanye Mother Theresa wa kubeba mizigo ya dume linajiweza lakini akili limeweka kwenye mguu wa tatu badala ya kichwani!! Anatutia aibu wanaume wenzake! Wee mdada, stop this sentimentality fnonsense! Mpe Rambo yake na watoto wake achape lapa akawaweke kwa hao anaowaona bora kuliko wewe!!
 
Pole Sana na mkasawako. Kwa ushauri wangu lakufanya fukuzia mbali huyo gasia na wewe ukibaki na hao watoto italeta shida sana afathali uwatafute wazazi wa mume na uwakabithi kwao lakini kwaa sababu ni malaika wa mungu basi wapatie elimu lakini wasikae na wewe.

Hiyo mimba yako baki nayo na mtunze mtoto wako mwenyewe. inaelekea uko poa sana kimshiko utapata mume mwingine atakaye kupena inavyo stahili...
 
Mungu wangu! yaani wanaume wa aina hii wapo wengi sana, hivi leo kuna rafiki yangu ametoka kunisimulia kisa kinachofanana na hiki. Cha kufanya sio kuendelea kumuonea huruma huyo amfukuze bila huruma, ila hao watoto aendelee kuwasaidia Mungu atamlipa. Lakini inauma sana!

angekuwa mwanamke hana kazi hapo mngesemaje? si ninyi wenyewe mnataka usawa, haki sawa kwa wote, sasa mbona mwanamke akiwa hana kazi hafukuzwi? lakini mwanaume akiwa hana ndo mnataka afukuzwe. kuna usawa hapo? futeni kauli zenu za Beijing kwanza, ndo muanze kujadili hili enyi wanawake. huyu mwanamke kwanza hana adabu, hawezi kuanza kupeleka mambo yake na mme wake kwa rafiki zake. yeye ndo hana thamani huyo
 
This story sounds so familiar...But the best you can do ni kuondoka sasa hivi and save yourself a lot of grief later. Hafai hafai hafai. Personally I learnt the hard way the rain cannot wash away the spots of a leopard and when such kind of men change....the chameleon will surely have stopped changing colours.

Simple he is not man enough for you, so let it go!
 
Wema usizidi uwezo,

samtaims siwaelewi wanawake wa namna hii, jitu halina kipato, jitu lina watoto watatu, jitu lina umalaya uliokubuhu... Mtu bado unaomba ushauri, ushauri gani kama sio ujinga kung'ang'ania ukimwi tu!!!

Yaani kama hayo yalioandikwa hapo yanatokea kweli basi huyo mwanamke lazima atakuwa na tatizo kubwa sana la kisaikolojia. Hajiamini hata chembe! Ni kweli kama ulivyosema hapo anatafuta VVU kwa nguvu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom