Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Wanaume njooni nina kikao na nyinyi

Mwezi mzima hakugusi umejaribu kumuuliza ana tatizo gani?ama swali ulilouliza linawahusu zaidi wanaume wa JF kuliko mume wako ambaye hakupi?

Ama ndio uko kwenye ile aina ya ndoa ya ukimwaga mboga namwaga ugali?
Hapo sasa!yaani niache kuuliza nasubiria nini!wiki yenyewe nyingi sana!may be nkiwa na wekundu wa msimbazi etii
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Hata ukipelekewa Moto kila siku pia utakuja kulalamika humu
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa



Me ninavyomtaka huyo mwanamke anaetaka aguswe kila siku wangu mm goli tatu tu analialia anataka akae week ndio akupe tena
ningempata huyo anaetaka Mtalimbo kila siku mbna ningenenepa
Screenshot_20220204-204144_GBWhatsApp.jpg
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Kuna pisi kali jamaa anagegeda sio bure
 
Hivi nyie binadam mmekuaje siku hizi? Mnaboa ujue agriiii!!
Wanawake wengi sasa hv wanalalamika hamuwagusi kabisa ndan ya nyumba, hapa nawaongelea mlio oa
Mi ninamwez sasa tangu trh 3 mpaka leo hollaaa , mpaka nimuanze mimi nikijikausha ndio kama hivi mwez umeisha
Nipo group la wanandoa uko wanalia
Hawaguswi
Mnamatatizo gani? Njoon tujadili hapa
Hii thread itachangiwa kila siku mpka 2030
 
Hapo unajipa moyo kwamba mpo wengi, kumbe wenzio wanapigwa ukuni deile.

Hebu kaa chini na mwenzio mjadili ndoa yenu. Wanaume wakiwa stressed kidogo tu sex kwao ni mtihani.

Cut him some slack.
 
Ila jamaa ni mzembe sana hata kama anatafuna nje haiwezekani mwezi mzima asiitwe jina vizur na mkewe labda kama ana matatizo ya kiafya
 
Back
Top Bottom