Wanaume njooni mfunguke.

Mkuu kwani unahofu gani inayokuzuia kuondoka hapo kwa shemeji? Au una maslahi gani yanayokulazimu uwe kama ruba hapo?
Huko kitaa maisha ni magumu sana aiseeeee......
Hata vijisenti ninavyo vipata naona niwe nanywea mitungi tu, wakati nikiendelea kukaa kwa shemela
 
Hahahaha.... Dah ningekuwa nakufahamu ningekupa offer ya msosi... Umenifurahisha sana
 
Hv unaanzaje kwenda
Kuish kwa dadaako
Alikoolewa
 
Bora kupangiwa doria kibiti kuliko kuishi kwa shemeji, ni dharau kubwa sana
 

Ulichabanga wangapi?
 
Wanaume wa dar mkuje jaman mnaitwa

[HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] ,
Hiyo avatar ila huyo jamaa hiyomovie si alikuwa hawezi kwichikwichino!
Ama huyo ni wewe na mkuu wako wa kaya!?

Haaaa haaaa haaaa teeeh teeeh
 
sintorud tena kulala usiku kwa sister toka nisikie sauti kali ya dada akilia najua anakula kichapo maana nilikua nasikia paaa paaa kwenda kugonga vip shem mbona unampiga sister? alicho nijibu hahaha kumbe jamaa alikua akila mzigo wake
 
Unakaa kwa dadako unamnyima uhuru wa kuvaa kanga moko sebuleni umekomaa na tamthilia za kikorea......Mwisho dada anaamua kujiachia hvohvo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…