Sijawahi kuishi kwa shemeji ila nilishawahi kwenda kumtembelea sister wangu mahali alipoolewa, nlipofika nilijiskia ovyo sana,
yani yule jamaa alikuwa kama anaona sifa hiivi kwamba amenikomoa labda
kwa kumuoa dada yangu,
manake dizain hata akiongea alikuwa anabenua midomo kwa jeuri jeuri...
Na hiko kitu ndo kilinipa ghadhabu ya mimi kuhitaji kumchapia ndugu yake