Wanaume njooni hapaa

Maan utakuta mwanaume kagomba n mke wake kitu hakun hata mantiki halafu anavimba Kameza chura sababu wala haina kichwa Wal miguu kama haitoshi baasi status za whatasp zinabasilishwa Ka nguo huyo n mwanaume anaejielewa kweli
Pole sana bila shaka umegombana na Mumeo nakushauri rudi ukamuombe msamaha na sio kumuanika kimaficho Humu Mungu hapendi nenda ukapatane nae pliz. Na uwache kuzungumzia mambo ya ndani hyo ni siri za ndani hata sisi tunagombana na wake zetu na yanaisha mikwaruzo ipo.
Asante
 
best ya ngoswe mwachie ngoswe,,,,, au we n mke wa mme anafany hayo mambo?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom