Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

NJIA 1
Kama unamwaga chini ya dk 1 yaani unachomeka, sekunde kadha unamwaga manii inabidi ukamuone daktari. Usione aibu maana ni aibu sana unatongoza mwanamke kisha anakuja kwako au mnaenda guest na kisha ktk yale mambo yetu unaenda dk 1 tu. Hapo haujafanya kitu chochote na mwanamke lazima akukimbie. Muone daktari atakushauri na pia atakuandikia dawa za kukusaidia. Acha uoga nenda ukamuone daktari zipo dawa za kutibu tatizo hili
NJIA 2
Ondoa woga na kutokamia gemu maana hapo lazima uabike tu. Cha kufanya ukishaweka taratibu mpaka ikazama vuta mpunzi ndani na uwe unaiachia taratibu na kisha fanya hivyo hivyo huku mawazo unayahamishia mbali unaweza ukawaza unapigana na John au unakimbia vile. Hii itakufanya usimwage haraka na utaenda Zaidi ya dk 45.
NJIA 3
Tumia dawa ya meno yyte (Kamua kidogo) kisha changanya na mafuta. Koroga (Mafuta ya nazi au ya kujipaka yyte) mpaka ichanganyike sawa sawa (Usitumie dawa ya meno yote kidogo tu). Baada ya hapo chukua na uchue kwenye uume wako. Usipake km unapiga puri no kwa juu juu km dk kadha 5/7 hivi kisha tulia mpaka dk 20 hivi na kisha ingia kwenye gemu huku unatumia njia 2. Dawa ya meno na mafuta husaidia kutomwaga haraka kwenye mechi na pia huongeza hamu ya kudo.
Mapenzi ni sekta nyeti sana na hapa wengi wamelia sana. Ktk dunia hii vitu vinavyosumbua akili ya mwanadamu ni mapenzi na pesa. Ukishindwa hapa lazima usaidiwe tu na usiombe mwanamke anogewe na penzi la nje lazima ulie km mtoto mdogo.
NJIA 4
Tumia kondomu sabb hupunguza msuguano na husabb kutomwaga upesi. Usivae 2 vaa mmoja tu km zinavyoshauriwa kutumiwa.
*Kuwa mwangalifu unapochagua mwanamke sbb kuna wengine bila ya kupiga bao 3, haridhiki. Kuna mwingine huko chini ni sugu bila ya kwenda masaa 2 humfikishi na pia kuna wengine weshazoea kugegedwa yaani yy ukiwa naye anataka, akigeuka kidogo anataka. Kuna wengine ukishamfikisha tu hana hamu tena mpaka kesho.
N.B
Wenzangu na mm bila ya kutumia dk +45 bado haujafanya chochote na ukumbuke kila mwanamke anasehemu zake za kuamsha ashki km matit, kwenye lips, na mapajani. Na pia anastyle zake za kufika kileleni. Usifikiri kupiga magoli mengi na kubadili kila style ndiyo utamkuna la hasha. Unaweza piga bao moja tu na akafika kileleni. Msome mpenzi wako anapenda style gani na sehemu zake za ashki (wachache watakuambia ila wengi huwa hawasemi ni ww kujiongeza).
Usidhani chomeka, chomoa ndiyo utamkuna inategemea na mwanamke na pia mnaweza kutumia style mmoja au 2 akaridhika
Kula chakula cha kutosha ushibe, kunywa maji mengi na usisahau matunda
HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUMEGEWA. HAKIKISHA UNAMKAZA MKEO AU MPENZI WAKO VIZURI NA AFIKE KILELENI( HII LAZIMA). KUMFIKISHA NI RAHISI SANA

Mods msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine kama mnataka kuunganisha na nyuzi zingine ufuteni.(Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kisayansi mwanume anatakiwa amwage baada ya muda gani? Kama ulimwengu huu wa kawaida huwezi kukaa dakika45
 
Mtoa UZI bado upo ? Binafsi nakushauri kula mafenesi, na maji ya limao iyo ndio solution
 
Kama.unakibamia.unakibamia tu...Hata ukifanya lisaaaaaa.....HAMNA HISIA
 
Wanaume wengi wanafikiri kumsugua kwa muda mrefu sana demu ndio kumridhisha! Na hapa mademu huwa wanatuinjoi sana.

Mwanamke muandae, tumia vidole, ulimi na kila utundu ulionao, ukimuundaa vizuri ukiingiza kidogo tu utashangaa huyooo.....alafu wewe unapiga dakika zako 5 unakojoa basiii mchezo umeisha na kila anakoenda atakuwa anakuwaza wewe tu.., na hadi marafiki zake wa kike na wa kiume ataanza kuwaita kwa jina lako.

Sasa komalia kupump dakika 45, kama humfikishi panapostahili hata upige dakika 100 siku akikutana na wa dakika 3 lkn akamfikisha..., wewe atakuona boya tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tuko pamoja mkuu. Yaani romance ya maana ndo ichukue muda mrefu. Aisee utamu wa mapenzi ni romance. Kuna muda waweza kumjoza kwa romance. Akishamwaga na wewe ukiweka dakika si nyingi bao ndo raha yake sio unapampu utadhani sijui unatwanga mawe na yeye unamchosha.
Akimaliza utamuona atahitaji kupumzika
 
NJIA 1
Kama unamwaga chini ya dk 1 yaani unachomeka, sekunde kadha unamwaga manii inabidi ukamuone daktari. Usione aibu maana ni aibu sana unatongoza mwanamke kisha anakuja kwako au mnaenda guest na kisha ktk yale mambo yetu unaenda dk 1 tu. Hapo haujafanya kitu chochote na mwanamke lazima akukimbie. Muone daktari atakushauri na pia atakuandikia dawa za kukusaidia. Acha uoga nenda ukamuone daktari zipo dawa za kutibu tatizo hili
NJIA 2
Ondoa woga na kutokamia gemu maana hapo lazima uabike tu. Cha kufanya ukishaweka taratibu mpaka ikazama vuta mpunzi ndani na uwe unaiachia taratibu na kisha fanya hivyo hivyo huku mawazo unayahamishia mbali unaweza ukawaza unapigana na John au unakimbia vile. Hii itakufanya usimwage haraka na utaenda Zaidi ya dk 45.
NJIA 3
Tumia dawa ya meno yyte (Kamua kidogo) kisha changanya na mafuta. Koroga (Mafuta ya nazi au ya kujipaka yyte) mpaka ichanganyike sawa sawa (Usitumie dawa ya meno yote kidogo tu). Baada ya hapo chukua na uchue kwenye uume wako. Usipake km unapiga puri no kwa juu juu km dk kadha 5/7 hivi kisha tulia mpaka dk 20 hivi na kisha ingia kwenye gemu huku unatumia njia 2. Dawa ya meno na mafuta husaidia kutomwaga haraka kwenye mechi na pia huongeza hamu ya kudo.
Mapenzi ni sekta nyeti sana na hapa wengi wamelia sana. Ktk dunia hii vitu vinavyosumbua akili ya mwanadamu ni mapenzi na pesa. Ukishindwa hapa lazima usaidiwe tu na usiombe mwanamke anogewe na penzi la nje lazima ulie km mtoto mdogo.
NJIA 4
Tumia kondomu sabb hupunguza msuguano na husabb kutomwaga upesi. Usivae 2 vaa mmoja tu km zinavyoshauriwa kutumiwa.
*Kuwa mwangalifu unapochagua mwanamke sbb kuna wengine bila ya kupiga bao 3, haridhiki. Kuna mwingine huko chini ni sugu bila ya kwenda masaa 2 humfikishi na pia kuna wengine weshazoea kugegedwa yaani yy ukiwa naye anataka, akigeuka kidogo anataka. Kuna wengine ukishamfikisha tu hana hamu tena mpaka kesho.
N.B
Wenzangu na mm bila ya kutumia dk +45 bado haujafanya chochote na ukumbuke kila mwanamke anasehemu zake za kuamsha ashki km matit, kwenye lips, na mapajani. Na pia anastyle zake za kufika kileleni. Usifikiri kupiga magoli mengi na kubadili kila style ndiyo utamkuna la hasha. Unaweza piga bao moja tu na akafika kileleni. Msome mpenzi wako anapenda style gani na sehemu zake za ashki (wachache watakuambia ila wengi huwa hawasemi ni ww kujiongeza).
Usidhani chomeka, chomoa ndiyo utamkuna inategemea na mwanamke na pia mnaweza kutumia style mmoja au 2 akaridhika
Kula chakula cha kutosha ushibe, kunywa maji mengi na usisahau matunda
HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUMEGEWA. HAKIKISHA UNAMKAZA MKEO AU MPENZI WAKO VIZURI NA AFIKE KILELENI( HII LAZIMA). KUMFIKISHA NI RAHISI SANA

Mods msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine kama mnataka kuunganisha na nyuzi zingine ufuteni.(Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Umenikumbusha ile video pendwa ya Ustaadh Rashid. Uno mbili tu wazungu mwaaaaaa
 
Hata umkaze na spana namba 12 akiamua kuliwa na mwingine ataliwa tu.
 
Hata ndo navojuaga lile gari maji yakijazwa hayamwagwi haraka
 
Acha soko liamue kama umalize haraka au uchelewe.
 
Back
Top Bottom