Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

We boya kweli kwa nini uchelewe kumwaga...? Unataka kumfurahisha nani...? Wakati raha ya mechi bao .....? ....mzee kuchelewa kumwaga sio sifa , unajichosha tu na unajiua ili umfaidishe mtu , kama unazani kuchelewa kumwaga sifa basi endelea
 
NJIA 1
Kama unamwaga chini ya dk 1 yaani unachomeka, sekunde kadha unamwaga manii inabidi ukamuone daktari. Usione aibu maana ni aibu sana unatongoza mwanamke kisha anakuja kwako au mnaenda guest na kisha ktk yale mambo yetu unaenda dk 1 tu. Hapo haujafanya kitu chochote na mwanamke lazima akukimbie. Muone daktari atakushauri na pia atakuandikia dawa za kukusaidia. Acha uoga nenda ukamuone daktari zipo dawa za kutibu tatizo hili
NJIA 2
Ondoa woga na kutokamia gemu maana hapo lazima uabike tu. Cha kufanya ukishaweka taratibu mpaka ikazama vuta mpunzi ndani na uwe unaiachia taratibu na kisha fanya hivyo hivyo huku mawazo unayahamishia mbali unaweza ukawaza unapigana na John au unakimbia vile. Hii itakufanya usimwage haraka na utaenda Zaidi ya dk 45.
NJIA 3
Tumia dawa ya meno yyte (Kamua kidogo) kisha changanya na mafuta. Koroga (Mafuta ya nazi au ya kujipaka yyte) mpaka ichanganyike sawa sawa (Usitumie dawa ya meno yote kidogo tu). Baada ya hapo chukua na uchue kwenye uume wako. Usipake km unapiga puri no kwa juu juu km dk kadha 5/7 hivi kisha tulia mpaka dk 20 hivi na kisha ingia kwenye gemu huku unatumia njia 2. Dawa ya meno na mafuta husaidia kutomwaga haraka kwenye mechi na pia huongeza hamu ya kudo.
Mapenzi ni sekta nyeti sana na hapa wengi wamelia sana. Ktk dunia hii vitu vinavyosumbua akili ya mwanadamu ni mapenzi na pesa. Ukishindwa hapa lazima usaidiwe tu na usiombe mwanamke anogewe na penzi la nje lazima ulie km mtoto mdogo.
NJIA 4
Tumia kondomu sabb hupunguza msuguano na husabb kutomwaga upesi. Usivae 2 vaa mmoja tu km zinavyoshauriwa kutumiwa.
*Kuwa mwangalifu unapochagua mwanamke sbb kuna wengine bila ya kupiga bao 3, haridhiki. Kuna mwingine huko chini ni sugu bila ya kwenda masaa 2 humfikishi na pia kuna wengine weshazoea kugegedwa yaani yy ukiwa naye anataka, akigeuka kidogo anataka. Kuna wengine ukishamfikisha tu hana hamu tena mpaka kesho.
N.B
Wenzangu na mm bila ya kutumia dk +45 bado haujafanya chochote na ukumbuke kila mwanamke anasehemu zake za kuamsha ashki km matit, kwenye lips, na mapajani. Na pia anastyle zake za kufika kileleni. Usifikiri kupiga magoli mengi na kubadili kila style ndiyo utamkuna la hasha. Unaweza piga bao moja tu na akafika kileleni. Msome mpenzi wako anapenda style gani na sehemu zake za ashki (wachache watakuambia ila wengi huwa hawasemi ni ww kujiongeza).
Usidhani chomeka, chomoa ndiyo utamkuna inategemea na mwanamke na pia mnaweza kutumia style mmoja au 2 akaridhika
Kula chakula cha kutosha ushibe, kunywa maji mengi na usisahau matunda
HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUMEGEWA. HAKIKISHA UNAMKAZA MKEO AU MPENZI WAKO VIZURI NA AFIKE KILELENI( HII LAZIMA). KUMFIKISHA NI RAHISI SANA


Mods msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine kama mnataka kuunganisha na nyuzi zingine ufuteni.(Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Unajua madhala ya kutumia dawa ya meno kupaka ktk ume?

Dawa ya meno ika karafuuu na karafuu hufanya sehemu kufa ganzi na ndio maana ukipaka mafuta ya karafuu sehemu ulioumia inaacha kuuma,ukiweka karafuu ktk jino linalouma linaacha kwa sababu karafuu hufanya sehemu gusika kufa ganzi kwa muda,
Sasa ukipaka karafuu unajua umefanya misuli ya uume Ife ganzi na hali hiyo ikiendellea na tatizo kubwa sanaaaa kwa maana ndio itakuwa ili ufanye kwa raha lazima upake dawa ya meno

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Kunywa coke/pepsi before game then mix na karanga mbichi kwenye hio soda yako 1hr before game asee leta mrejesho ni hatari utapaerform sana. pin this comment.
 
Back
Top Bottom