Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

dawa za mswaki/meno zitapanda bei!! tujiandae kununua dawa ya 45gram kwa laki mbili na nusu
 
Pesa nimpe na bado nihangaike kumfikisha kileleni,maza fanta kabisa,mimi nikishafika mimi yatosha,kama yeye hataki kifika basi.
Kama nimekula sina mpangi wa kurudia koloni.
Nihangaike kumtongoza
pesa nimpe
na kileleni nimfikishe? Yeye mchango wake nini? Papuch.

Tupia namba zao mkuu ili nasi tyuwapitie
 
NJIA 1
Kama unamwaga chini ya dk 1 yaani unachomeka, sekunde kadha unamwaga manii inabidi ukamuone daktari. Usione aibu maana ni aibu sana unatongoza mwanamke kisha anakuja kwako au mnaenda guest na kisha ktk yale mambo yetu unaenda dk 1 tu. Hapo haujafanya kitu chochote na mwanamke lazima akukimbie. Muone daktari atakushauri na pia atakuandikia dawa za kukusaidia. Acha uoga nenda ukamuone daktari zipo dawa za kutibu tatizo hili
NJIA 2
Ondoa woga na kutokamia gemu maana hapo lazima uabike tu. Cha kufanya ukishaweka taratibu mpaka ikazama vuta mpunzi ndani na uwe unaiachia taratibu na kisha fanya hivyo hivyo huku mawazo unayahamishia mbali unaweza ukawaza unapigana na John au unakimbia vile. Hii itakufanya usimwage haraka na utaenda Zaidi ya dk 45.
NJIA 3
Tumia dawa ya meno yyte (Kamua kidogo) kisha changanya na mafuta. Koroga (Mafuta ya nazi au ya kujipaka yyte) mpaka ichanganyike sawa sawa (Usitumie dawa ya meno yote kidogo tu). Baada ya hapo chukua na uchue kwenye uume wako. Usipake km unapiga puri no kwa juu juu km dk kadha 5/7 hivi kisha tulia mpaka dk 20 hivi na kisha ingia kwenye gemu huku unatumia njia 2. Dawa ya meno na mafuta husaidia kutomwaga haraka kwenye mechi na pia huongeza hamu ya kudo.
Mapenzi ni sekta nyeti sana na hapa wengi wamelia sana. Ktk dunia hii vitu vinavyosumbua akili ya mwanadamu ni mapenzi na pesa. Ukishindwa hapa lazima usaidiwe tu na usiombe mwanamke anogewe na penzi la nje lazima ulie km mtoto mdogo.
NJIA 4
Tumia kondomu sabb hupunguza msuguano na husabb kutomwaga upesi. Usivae 2 vaa mmoja tu km zinavyoshauriwa kutumiwa.
*Kuwa mwangalifu unapochagua mwanamke sbb kuna wengine bila ya kupiga bao 3, haridhiki. Kuna mwingine huko chini ni sugu bila ya kwenda masaa 2 humfikishi na pia kuna wengine weshazoea kugegedwa yaani yy ukiwa naye anataka, akigeuka kidogo anataka. Kuna wengine ukishamfikisha tu hana hamu tena mpaka kesho.
N.B
Wenzangu na mm bila ya kutumia dk +45 bado haujafanya chochote na ukumbuke kila mwanamke anasehemu zake za kuamsha ashki km matit, kwenye lips, na mapajani. Na pia anastyle zake za kufika kileleni. Usifikiri kupiga magoli mengi na kubadili kila style ndiyo utamkuna la hasha. Unaweza piga bao moja tu na akafika kileleni. Msome mpenzi wako anapenda style gani na sehemu zake za ashki (wachache watakuambia ila wengi huwa hawasemi ni ww kujiongeza).
Usidhani chomeka, chomoa ndiyo utamkuna inategemea na mwanamke na pia mnaweza kutumia style mmoja au 2 akaridhika
Kula chakula cha kutosha ushibe, kunywa maji mengi na usisahau matunda
HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUMEGEWA. HAKIKISHA UNAMKAZA MKEO AU MPENZI WAKO VIZURI NA AFIKE KILELENI( HII LAZIMA). KUMFIKISHA NI RAHISI SANA


Mods msiunganishe huu uzi na nyuzi zingine kama mnataka kuunganisha na nyuzi zingine ufuteni.(Vigezo na masharti kuzingatiwa)
Kansa ya kizazi inachangiwa sana na hizi dawa za kipumbavu kama hiyo namba tatu hapo juu.

Chonde chonde msituharibie wake zetu watarajiwa, kama hamuwezi kudumu kwenye kitanda achaneni na mapenzi fanyeni mambo mengine ya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengine kama Simba. Tano ndio atulie
 
Ukishajua ukweli kwamba wanawake wanatofautiana kimaumbile na uwezo wa kustahimili mikikimikiki wala huwezi kuhangaika na nguvu za kiume!!
Ukikutana na "mbunye mnato" huwezi kupump zaidi ya dk 5 hujatoa wazungu...ila likiwa bwawa waweza twanga hadi hizo 45min na hakuna dalili yeyote ya kutoa wazungu maana "Friction" inakuwa ndogo sana kwa mbunye bwawa so unachelewa kumwaga automatically

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point Sana Ila Kuna watu hawatoelewa

Kuna Dem nlikua namchapa yan huyo nikichomeka Sina ujanja nilifika dakka 10 bas hyo siku najiona nimejitahd.

Ila baada ya kuwa na Dem mwngne Yan huyu anakojoa mbili had tatu Ila mm bado ngoma inahitaji tu


Guyz hakunaga upungufu wa nguvu za kiume Ila Kuna tatizo la kutojua kwann unawah kukojoa
 
Kansa ya kizazi inachangiwa sana na hizi dawa za kipumbavu kama hiyo namba tatu hapo juu.

Chonde chonde msituharibie wake zetu watarajiwa, kama hamuwezi kudumu kwenye kitanda achaneni na mapenzi fanyeni mambo mengine ya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo lazima uchangie. Nyuzi zingine unapita tu. Hapa haujalazimishwa uchangie. Haujaeleza inasababisha vipi na hao wake zenu ndiyo wakina nani? Km bado haujaoa subiri watu wakufumulie malinda wake zenu watarajiwa
 
Tunaotumia zaidi ya dakika 45 tunakomenti wapi? Wa mkoani hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume dar wanalalamika sana. Nimewasaidia bado wanalalamika. Kiukweli bila kwenda 45 mins bado huajamtosheleza mwanamke kisawa sawa. Na akipata mtu anayepiga mashine vizuri na anajua kuchezea vizuri mwili wa mwanamke. Lazima akuache.
Hapo hapo ulipoweka comment yako ni sawa. Kinehe ngosha? Delagawiza
 
Wanawake wengine kama Simba. Tano ndio atulie
Ni kweli. Na hapa uwe umekula na umeshiba na umekunywa maji ya kutosha. Hata kulia halii jicho kavu linakuangalia tu
 
Umeongea point Sana Ila Kuna watu hawatoelewa

Kuna Dem nlikua namchapa yan huyo nikichomeka Sina ujanja nilifika dakka 10 bas hyo siku najiona nimejitahd.

Ila baada ya kuwa na Dem mwngne Yan huyu anakojoa mbili had tatu Ila mm bado ngoma inahitaji tu


Guyz hakunaga upungufu wa nguvu za kiume Ila Kuna tatizo la kutojua kwann unawah kukojoa
Kweli kabisa mkuu... Anayebisha afanye utafiti atathibitisha tuyasemayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh wengine mademu wametukimbia kwasababu ya kuchelewa wanahisi kila ukichelewa unatumia dawa ili umkomoe.
 
Back
Top Bottom