Maswali yako ni muhimu na yamekuwa yakisumbua wanawake makini! Wanawake wengi hawana muda wa kutaka kujua kusudi au dhumuni kuu la mwamme anayemtongoza, wengi huamini haraka na kuweka matumaini makubwa hata kama amekutana na mpenzi wake huyo ndani ya basi. wanawake wengi hawatambui kuwa wanaume wengi sio wakweli na ni fahari yao kudonoadonoa wanawake wanojirahisi kutokana na sababu zao kadha wa kadha. wakati mwanamke akiamini kuwa anampenzi wake anayempenda, kutokana na kuamini kuwa kila mara anatumiwa msg, au anatumiwa salio, au amepewa ofa, wanaume wengi hutumia vitu kama hivyo ili kuwapata wanawake wasio makini na wanaopenda ofa na kufadhiliwa. wanaume wengi hawana Upendo wa dhati ila wana kutamani ambako ndiyo kunasukuma kutaka kujaribu kila mwanamke ili mradi amejichanganya. Ukishasex na mwanaume wa aina hiyo ujue, huo ni mwanzo wake wa kujaribu pengine, wanaume wengi swala la kusex huweka kama burudani hivyo sio tatizo kwao kutafuta kiwanja chochote na kucheza mechi. Nilishawahi kutoa thread inayohamasisha wanawake kujua tabia za wanaume. Ukishazijua tabia zao hawatakusumbua. Maana wakati mwanamke anamapenzi ya dhati Mwanaume (wengi ) wamejaa kutamani na are not fit for women consumption!!!
Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Ukweli ndio huu....
- "a woman normally accepts a man with expectation that he will change, but they do not.... and a man normally follows a woman with expectations that she will never change, but they do....." So kuhusu wanaume kubadilika mimi sikubaliani nalo.....! Different things may go wrong in different relations and different times.... they are so many....! Swala la kuplay hard au kukubali haraka hutegemeana kama ni tabia yake kwa kila mtu.... kama ni kwangu tu basi akubali haraka, otherwise siwapendi.....!
- Kama kumuacha ni kwa maslahi na usalama wangu huwa siumii kumuacha, badi nitaona kero kunifatafata na kujutia nilivyomgusa, na huenda hata nikajisikia vibaya sana nikumbukapo kuwa nilijulikana....
- vyote na hasa isitokee mwanaume mwenzangu akafaidi ninavyoringia juu yako...
Huu niukweli mtupu yaani napenda sana hapo.................... Demu anakubana kama vile mfunga pingu za maisha kila unapo kuwa free kidogo anataka muonane, nusu saa ikipita sms WhyyyyyyyyyyyyyMichelle.......
3. Mnapokuwa hamko pamoja dont overshadow him with mijimessages, simu kila saa as if he is already committed to you ........na hapo atakapoamua kuuchuna (sometimes huwa wanatutega by just creating the gap) nawe kaa kimya........usinchoke na cm au sms za mbona hupokei simu zangu mbona vje.....mpe space.
Huu niukweli mtupu yaani napenda sana hapo.................... Demu anakubana kama vile mfunga pingu za maisha kila unapo kuwa free kidogo anataka muonane, nusu saa ikipita sms Whyyyyyyyyyyyyy
well in the beginning they are eager to get some satsifaction from you hence (he will be on his best behavior ) and once you give it to them why do they have to be nice when what they wanted is already captured? this is life until he meets something so good he wants to keep being nice or he falls in love and cant help but being nice. The usual mistakes ni kuwa mnadanganywa na gia ya kuolewa. Ukiona mwanaume yoyote mmefahamiana kwa muda mfupi afu anakuja na gia ya kukuoa na kuomba mapenzi ujue huyo anataka tu kuonja. mwanaume wa kweli anaetaka kukuoa utamwelewa kwa matendo yake na kamwe hataomba sex kwani anaogopa utamchukuliaje na itamuuma sana kama utareact vibaya na kumpiga kibuti hivo atavumilia hadi mpate uelekeo.sex itatokea bila nyie kupanga yaani mtajikuta siku mko mahali peke yenu mkashikana na kubusiana mkapeana but hapo ujue huyu bwana hajaomba na umeshaelewa uelekeo wake.tatizo mnaogopa kuwa ukitongozwa usipokubali kumpa sex atakuacha kumbe hamjui jamaa nae ni mwonjaji tu( huwa tunaita style ya kunyonga i mean after sex no more relation whatsoever.
Kinachokimbiza wanaume ni tabia ya utegemezi na omba omba ya wanawake (samahani kina dada kama nitawaudhi) Unapomfukuzia dada huwa kuna malengo aina 2 kutafuta sex au uhusiano wa kudumu mke. Unapomfukuzia anaanza kukuliza mizinga midogo midogo mara vocha, lanchi nk. Ukishampata mara Kodi ya nyumba, furniture anataka amalizie matatizo yake yote kwako nk. ukiona mizinga imezidi ndipo unapoingia mitini. Enzi zile za mwaka 47 kina mama walikuwa na aibu ukitaka kumhonga mpaka mpenzi wa kiume ndiye anayeamua atoe kitu gani tena ukimpa mshikaji anakataa mpaka umlazimishe, siku hizi hakuna mapenzi ya kweli inapendwa pesa hapendwi mtu habari ndiyo hiyo Michelle upo?
Michelle tunapenda mwanamke anayejitambua kwamba yeye ni mwanamke na wewe ni mwanaume. Mwanamke asiye mlalamishi saaana, mwenamke msafi, mwanamke anayekuamini, mwanamke akuachie space kidogo japo ukaangalie mpira au kucheck na jamaa zako
Mi nikiombwa hela ya saluni,vocha huyo mbio na simu sipokei[/QUOTE
Mh kaazi]
Red: That's the point whre all he fracas lies... mwen and women alike.... I reserve mine!!!:love:Mimi kama mwanamke nimepitia mengi,kama mshauri pia nimepitia mengi
Naomba mnisaide tu maswali yafuatao:
1. Ni nini waga kinabadilika kwa wanaume wengi baada ya kufanya mapenzi na msichana,wasichana wengi wanalalamika baada ya kufanya mapenzi mnabadilika na wengine hamuonekani tena????what goes wrong? Je mnapenda wasichana wa-play hard au wale wanaokubali haraka????
2.Mnavyokuwa mmewaacha wasichana,waga mnaumia ile msichana anavyokuwa anakutafuta unamchunia,simu hupokei,email hujibu,nyumbani unawaambia waseme haupo??
3.Waga mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini,sex,feelings,company au ni nini?
Natumai maswali si mengi sana.
Napenda demu anizungushe kiaina. Nihangaike kidogo kumpata. Akinipa mambo fasta sana namimi namuacha fasta vilevile.