Wanaume Nisaidieni

Awwww, hii thread ni ya miaka ya nyuma uwiii,imenifanya nijitahidi kukumbuka nini hasa kilinifanya niiandike na bado sijapata jibu. Nashukuru sana kwa yote yaliyoshauriwa yalikuwa na naamini yatakuwa kwa manufaa kwangu na kwa wengine wote!
 

Thank you Imani, Am Okay!
 
Awwww, hii thread ni ya miaka ya nyuma uwiii,imenifanya nijitahidi kukumbuka nini hasa kilinifanya niiandike na bado sijapata jibu. Nashukuru sana kwa yote yaliyoshauriwa yalikuwa na naamini yatakuwa kwa manufaa kwangu na kwa wengine wote!
I love you. Nichumu Michele.
 
hapan'shaka unafahamu kiu
baada ya kunywa maji
ya kukata kiu
nii kinafuata?
 
Hapa naona ume-generalise kwamba wanaume wooooote wako hivyo.

Nikuulize: Michelle umeshakutana na wanaume wangapi wakakufanyia hayo uliyoyataja hapo?

Nakuunga mkono sanaa hapa..... hata wanaume tunatofautiana vitu flan flan.
 
Michelle no one will gv u the correct answer. But with my experience nitakwambia sbb tatu. Hizi tatu is according to me.

1) Before sijaumizwa na mwanamke niliyempenda. Nilikuwa nawahurumia sn wasichana. Lkn baada ya hapo hata niki sex na msichana na kumuacha. Siwezi hata kumhurumia. Nimejibu swali lako la kuona huruma.

2) Sex kwa wasichana wengi, hili nafikiri wanaume wanatafuta proof ya secret ya utamu wa sex. Pia wanaume wanatafuta love n peace. Utakuta wanawake wengine ni wasumbufu na hawakupi freedom. Ndiyo maana sometimes hutokea mwanaume aka sex na wasichana wengi na akamrudia gf wake wa mwanzo au katikati au akamchukua wa mwisho. Kutokana na samples na experiance.

3) Mwisho, nafikiri sometimes wanaume wanatafuta sex km wanavyotafuta pesa. Pesa haina mwisho na sex haina mwisho.Hii ina maana wanaume anatafuta sex na siyo feeling au company. To me nina msichana mmoja nampenda baada ya sample studies. Hawa wengine natafuta sex na kuona km uzuri wa mwanamke ni propotional na raha ktk tendo la ndoa.
 
Last edited by a moderator:
mmmmh kwa uelewa wangu mdogo nadhani sababu za kibaiolojia zaweza kuwa zinachangia pia,wanaume wao wana wish kutoa copy nyingi zaidi za offsprings kadri inavyowezekana wakati wanawake wao wanahitaji zaidi kuhakikishiwa usalama wao na watoto wao ndio maana wakipenda hupenda kweli wakitegemea usalama na uhakika wa matunzo. Hivyo mwanaume kupiga sehemu hata mara moja na kuchapa mwendo sio tatizo nadhani tunasukumwa zaidi na sababu za kibaiolojia,wazee wa "Behaviour Ecology"nisaidieni
 
Kwa upande wangu huwa nimewagawa mademu zangu kwa makundi tofauti
1. Hao huwa ni wa kuduu nao tu.
2.wakuuzia sura nao(wenyemwonekano mzuri)
3.huyo ni mke mtarajiwa
So inategemea na demu mwenyewe kaja vp akileta kali zangu basi nastiki nae.
Akileta kali za kimagumashi then ndo ivo
 
Love you just becouse of your ideas
 

Daaaah!
 

Sex mambo yote ndoa majaliwa
 

Uchaguzi umeisha na ushindi umepata sasa kampeni za nini??!!
 
naona mkuki kwa nguruwe .......
No. Vioja abifanyavyo mwanaume vinageuzwa sifa positive. Mfano, mwanaume akila kuku mzima, chips sahani sita na crate ya soda anasifiwa,mwanamke akifanya hivyo anakejeliwa, tena bahati mbaya, wanaoogoza kejeli hizo ni wanawake wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…