Wanaume nimewavulia kofia

Wanaume nimewavulia kofia

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,775
Reaction score
9,202
Jamaa mmoja ambaye ametangulia mbele za haki, alikuwa na michepuko kadhaa, na baadhi yao kumbe alishazaa nao.

Inaelezwa kuwa jamaa alikuwa jumla na watoto 6 wa nje ya ndoa, kila mmoja akiwa na mama yake.

Wanne kati ya hao walikuwa wakike, na wote aliwaita Doreen. Sawa na binti yake wa kwa mke wa ndoa. Jamaa baada ya kufariki, wazazi wenzie nao wamejumuika msibani, basi vilio ni kwa kwenda mbele, kila mmoja analia "weeeee baba Doreen weeee".

Mke wa ndoa na watu wa karibu wakajua ni Doreen wa mke wa ndoa. Ila sasa, kila watu wa karibu wakipepesa macho, wanashangaa, mbona hawa wala sio wa mtaani kuwa wanamjua baba Doreen? Si wakajitosa kuuliza.

Ndipo yakaja julikana ya kuwa kumbe Doreen anayetajwa sio wa hapo nyumbani msibani, bali ni kina Doreen wengine ambao wako wanne na kila mmoja ana mama yake!! Watu wameshikwa butwaa.

Mama Doreen wa kwenye ndoa, taarifa zilipomkuta naye kazimia. Shughuli za maziko zimesimama kwa muda sasa.

Jamani....... kweli huku michepukoni kunatufunza ujanja mwingi, ijapo mwishowe ndio kuumbuka namna hii.
 
Sasa msimamishe msiba ili mfanyaje? mumuulize maiti?.....busara ni kuzika kwanza mambo mengine baada ya kuzika....hao waliowauliza hao kina mama Doreen yupi nao wambea kupita maelezo.....there is nothing new under the sun.....
 
So long as ni kofia peke yake.., basi you are safe...

Kama alikuwa anawatunza wote na kutekeleza nafasi yake kama baba sio mbaya sana.., watu wasiofaa ni wale wanaotelekeza familia, Sababu unaweza ukawa a Bad Husband lakini a Good Father.., kwahio huyu kama alikuwa a good father angalau
 
daaaa ntalia mim baba salim kumbe kuna salim kumi daaa shida hii
 
hii inankumbuasha rafiki yangu judy.
bwanake marehemu ngapasa anamwambia amfanyie assignment ana kazi katumwa na baba yake kumbe yupi njiani anamrudisha dem dom baada ya kutanua weekend.
don kafika salama kurudi ajali wenzako hata bruises hawana yeye kafariki.
Msibani madem watatu wote wanamlilia ngaps simu sare kila akinunua kitu ananunua anapeleka aehwmu tatu.
Nyie ndo wanaume bana !!!
shikamooni
 
Sasa msimamishe msiba ili mfanyaje? mumuulize maiti?.....busara ni kuzika kwanza mambo mengine baada ya kuzika....hao waliowauliza hao kina mama Doreen yupi nao wambea kupita maelezo.....there is nothing new under the sun.....

kabisa yaani wamhifadhi marehemu kama inavyostahiki hayo mengine baadae kwenye vikao
yashatokea tayari aliyezimia atazinduka tu!
 
wanaume ni choko sana

unakuta anakwambia baby tufanye mpango nikupeleke kwetu nikakutambulishe

SHIKA SIMU YAKE UNAKUTA KAWAAMBIA KAMA 7 HIVYO HIVYO
 
Back
Top Bottom