Wanaume ni noma!!!

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Siku hiyo hali ya hewa ilikuwa ni baridi sana...nikiwa nimepanga kukutanana Boyfriend miaka hiyo..
Mara nikapita sehemu mida ya saa kumi nakumbuka miadi yangu kukutana na Zilipendwa yule ilikuwa saa moja
Ghafla namuona my mupenzi kakumbatia binti huku wanakulana denda..
miaka saba iliyopita ...ikawa ndo mwisho wa miadi

*******************************
PM no..labda yule jamaa ninayemzimia only...
weekend njema
 
Kwahiyo sasahivi una mwanaume nota ambaye ni noma au sio noma? Kama sio noma maana yake sio mwanaume au?

PM zinaruhusiwa, lakini Mimi ni mwanaume noma!!
 
Enhe afu ikawaje?

Weekend njema na wewe pia.

sasa sweetlady appointment yangu na yeye ingeishia kubanjuana ...mie nishaona wanakulana denda na mtu mwingine..nilisepa mpaka kesho..
Nilichofanya pale nilipita na kumwambia habari gani ? nikaishia zangu
 
Kwahiyo sasahivi una mwanaume nota ambaye ni noma au sio noma? Kama sio noma maana yake sio mwanaume au?

PM zinaruhusiwa, lakini Mimi ni mwanaume noma!!

Bigirita Pm zako zinaruhusiwa kwingine si kwangu love....mie kuna mmoja tu akinitumia ndio nitapokea kwa moyo mweupe kama whitedent
 
Duh! huyo jamaa akawaje mdogo!
 
Kwahiyo sasahivi una mwanaume nota ambaye ni noma au sio noma? Kama sio noma maana yake sio mwanaume au?

PM zinaruhusiwa, lakini Mimi ni mwanaume noma!!

Bigirita Pm zako zinaruhusiwa kwingine si kwangu love....mie kuna mmoja tu akinitumia ndio nitapokea kwa moyo mweupe kama whitedent
Kwingine wapi tena..... Tuma PM hapa kwa biggie ili akuondolee machungu ya zilipendwa....
Usikatae, zilipendwa bado una machungu nae sana!!
 
Biggie bwana nilipata replacement ....leo nimekumbuka mkasa lakini Biggie huyu zilipendwa nashangaa analalamika kwa marafiki eti alifanya mistake kubwa katika maisha..
Biggie hizi ni dalili anataka aje abanjue tena or?
 
si ungemPM tu kumwambia umekaa miaka saba single na unataka akuPM?

It's owkay, ila tafuta wa kuongea naye. Utajikuta unavent out hata kwenye sredi.

Pole lakini.
 
sasa sweetlady appointment yangu na yeye ingeishia kubanjuana ...mie nishaona wanakulana denda na mtu mwingine..nilisepa mpaka kesho..
Nilichofanya pale nilipita na kumwambia habari gani ? nikaishia zangu

Dah! Ingelikuwa ndio mimi nimefumaniwa hivyo ningejichimbia kaburi na mapema kabla hata haujanisalimia. Ila najua hilo haliwezi kunitokea cuz am not a playboy.
 
Siku hiyo hali ya hewa ilikuwa ni baridi sana...nikiwa nimepanga kukutanana Boyfriend miaka hiyo..
Mara nikapita sehemu mida ya saa kumi nakumbuka miadi yangu kukutana na Zilipendwa yule ilikuwa saa moja
Ghafla namuona my mupenzi kakumbatia binti huku wanakulana denda..
miaka saba iliyopita ...ikawa ndo mwisho wa miadi

*******************************
PM no..labda yule jamaa ninayemzimia only...
weekend njema

Ila pole sana mummy kwa yote yaliyokutokea ingawa yameshapita. hila hali hii huwakumba wote wanawake na wanaume. So usijaji wanaume peke yao, hata nyie pia mna tabia hizo hizo.
 
Wanatofautiana hapo ungesema "kumbe J ndo alivyo" ila ukitujumuisha unakosea shem...
 
But mistake ya mwanaume mmoja haibebi lawama kwa wanaume wengine.
Ofcoz utakua hututendei haki . Not fairplay .
 
Back
Top Bottom