Je, ni kweli msichana anaweza kujua kuwa ana mimba ndani ya siku nane?

Mvua inayonyesha

JF-Expert Member
Sep 16, 2022
268
575
Jamani ndungu zangu wiki iliyopita ilikuwa Weekend baada ya kupiga vitu kidogo kuna demu nilikuwa namuelewa hivyo kuna hatua tayari nilikuwa nimepiga kwake hivyo tulikua na mawasiliano na ukaribu kidogo

Kwa hiyo siku hiyo baada ya kupiga vitu jioni hivi kama saa mbili nikawa narudi home ghafla simu ya huyu demu ikaingia nikapokea ile baada ya salamu aliuliza uko wap nikamwambia ndio narudi home hata hivyo yeye anakaa jirani na barabara ninayopita hivyo nikamwambia nikifika maeneo hayo nitakwambia ili nikupe hi kajibu poa

Sasa baada ya kufika nikajikuta tumeongea na kuondoka wote mpaka geto aisee na nikamla aisee dah Leo imepita siku kama nane hivi demu anasema ana mimba.

Sasa nauliza kweli mtu anaweza kujipima mimba ya wiki au siku nane , tisa akajua au huyu demu ananiletea mauzauzaa kabla sijaenda mchukua kumpeleka hospital
 
Jamani ndungu zangu Kuna demu wiki iliyopita ilikua weekend baada ya kupiga vitu kidogo Kuna demu nilikua namuelewa hivyo Kuna hatua tayari nilikua nimepiga kwake hivyo tulikua na mawasiliano na ukaribu kidogo kwahiyo siku hiyo baada ya kupiga vitu Jion hiv kama saa mbili nikawa narudi home gafla simu ya huyu demu ikaingia nikapokea Ile baada ya salamu aliuliza uko wap nikamwambia ndio narudi home hata hivyo yeye anakaa jirani na barabara ninayopita hivyo nikamwambia nikifika maeneo hayo nitakwambia ili nikupe hi kajibu poa Sasa baada ya kufika nikajikuta tumeongea na kuondoka wote mpaka geto aisee na nikamla aisee dah Leo imepita siku kama nane hivi demu anasema ana mimba...
Sasa nauliza kweli mtu anaweza kujipima mimba ya wiki au siku nane , Tisa akajua au huyu demu ananiletea mauzauzaa kabla sijaenda mchukua kumpeleka hospital
ili akatoe maramoja right?
 
Nakumegea siri. Kuna mwamba alikula mzigo kavu kavu hapo mwezi au wiki tatu nyuma. Ila mwamba haeleweki, future zero, muhuni flani hivi hata binti namna ya kumpanga ana mimba yake anaona jau ataikataa.

Solution: kaona achekeche akili yake aangalie fala lenye muelekeo mzuri ili abebe mzigo huo. Bahati mbaya ukaingia kingi kiboya. Kwahiyo huyo fala kwa sasa ni wewe.

Readings za Beta Hcg huanza kusoma atleast siku 10-14 baada ya tendo la ngono. Chini ya hapo lazma uweke doubt. Ila unaweza kulea hiyo mimba na ikifikisha atleast mwezi na nusu mpeleke afanye ultrasound ujue umri wa mimba then fanya calculations vizuri.
 
Nakumegea siri. Kuna mwamba alikula mzigo kavu kavu hapo mwezi au wiki tatu nyuma. Ila mwamba haeleweki, future zero hata binti namna ya kumpanga ana mimba yake anaona jau ataikataa.

Solution: kaona achekeche akili yake aangalie fala lenye muelekeo mzuri ili abebe mzigo huo. Bahati mbaya ukaingia kingi kiboya. Kwahiyo huyo fala kwa sasa ni boya.

Readings za Beta Hcg huanza kusoma atleast siku 10-14 baada ya tendo la ngono. Chini ya hapo lazma uweke doubt. Ila unaweza kulea hiyo mimba na ikifikisha atleast mwezi na nusu mpeleke afanye ultrasound ujue umri wa mimba then fanya calculations vizuri.
Kweli mkuu naona huyu demu ananiletea mazingiraa ambayo ata sielewi we haiwezekani demu nimemchukua kilaini kweli yaan wakati kila mara alikua analeta ugumu...naona kama kweli anayo Nina doubt huyu manziii
 
Jamani ndungu zangu Kuna demu wiki iliyopita ilikua weekend baada ya kupiga vitu kidogo Kuna demu nilikua namuelewa hivyo Kuna hatua tayari nilikua nimepiga kwake hivyo tulikua na mawasiliano na ukaribu kidogo kwahiyo siku hiyo baada ya kupiga vitu Jion hiv kama saa mbili nikawa narudi home gafla simu ya huyu demu ikaingia nikapokea Ile baada ya salamu aliuliza uko wap nikamwambia ndio narudi home hata hivyo yeye anakaa jirani na barabara ninayopita hivyo nikamwambia nikifika maeneo hayo nitakwambia ili nikupe hi kajibu poa Sasa baada ya kufika nikajikuta tumeongea na kuondoka wote mpaka geto aisee na nikamla aisee dah Leo imepita siku kama nane hivi demu anasema ana mimba...
Sasa nauliza kweli mtu anaweza kujipima mimba ya wiki au siku nane , Tisa akajua au huyu demu ananiletea mauzauzaa kabla sijaenda mchukua kumpeleka hospital
Naskiaga n after 14days
 
Back
Top Bottom