kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
hahaha jamani. asante kwa kunijibia
nimegundua mumeo yuko hivyo kwakuwa wewe si mwaminifu.unawaza kuchepuka?
hahaha jamani. asante kwa kunijibia
hapana usipende kuhukumu. sijawai toka nje ya ndoa yangu takatifu hata siku moja. ningekuwa na wa kuniliwaza nisingeleta uzi huu kwenu ningekuwa biz na mchepuko wqngunimegundua mumeo yuko hivyo kwakuwa wewe si mwaminifu.unawaza kuchepuka?
asante sana kwa ushauri wako mpendwa... japo nimeshajaribu njia hiyoila khali inaendelea kujitokeza we fikilia miaka yote khali hiyo inakuwa inamtokea.... mpaka nami akiwa amenuna siangaiki nae naumia tu..
habari zenu wapendwa
mimi ni mama wa mtoto mmoja wa miaka 5 na nina mume wangu wa ndoa zaidi ya miaka sita. ila mume wangu simwelewi kitu kimoja inafika kipindi akaninunia na asikwambie sababu na ukimuuliza nini mbaya unaweeza ukalamba
hata vibao. si mara moja ili swala kujitokeza ndo mana nimeona nilete jamvini. na anakuwa na majibu ya mkato na hasira endapo nitamuuliza kitu. yani nakuwa sina thamani kwake. na naweza nikawa nyumbani na apigi kwa simu yangu anapiga ya dada na anaweza sa nyingine akarudi usiku wa manane na yupo chakali. sasa na jiuliza uu ni ugonjwa ama pepo. akiwa ajaninunia yupp sawa na ni mume mwema. ila haiwezi pita miezi 3 ajaninunia.
je mnahisi ana tatizo gani? mi nampenda sana mume wangu. ila kama binadamu akiwaga na khali hiyo nami uwa naumia mpaka sa nyingine nawaza yasiyo wazika.
Haha hapo pa michepuko ndo napapa asilimia mia tisa tisini na tisa bila sentiWe nawe mpe nafasi kununa kukiisha endelea naye! Unadhani kuna binadamu atakuwa anacheka muda wote?
Zingine ni sababu za kukosa hela, zingine ni kumwagwa na michepuko au kuifumania! Zingine ni stress za kazi na ups & downs za maisha!