Wanaume naomba msaada kutoka kwenu

wee yani mtu hadi kwenye kiwiko cha mkono jamani cantalisia kamuhifadhi kweli bana leo mimi ningemlaza ndani bana khaaaaaaaaaaaaaaa
ilawatu wana ukame bana khaaaaaa

ule sio ukame ni uhayawani.
 

nakuunga mkono 100%safi..
 
hakuna kitu kizuri ambacho wanaume wengi wanapenda kukipata kwa mwanamke kama
  1. heshima
  2. mwanamke kujua wajibu wake wa nyumbani
  3. mwanamke kujua nyakati za mwanaume
  4. kutimiza mahitaji kwa mume (usiku)
  5. kuwa mbunifu katika maisha (japo wanaume wengi hupenda kuwa waamuzi wa mwisho)
 
Mi binafsi napenda yafuatayo:
1.awe alieshika dini kama mimi
2.aniheshimu
3.ajue majukumu yake hasa kuhusu watoto na nyumbani kiujumla kama mwanamke akiwa ovyo nyumba inacollapse japo wanaume nao wanahijika kushirikiana lakini mambo mengi mwanaume unaweza usiyajue
4.napenda mwanamke alie tayari kunikosoa lakini nae awe anaekubali kukosolewa na akajirekebisha
5.lazima ajue mimi ndo kichwa cha nyumba nayeye ni waziri mkuu
6.wivu uliopindukia sipendi
7.sipendi mwanamke FEMINIST
8. Awapende ndugu zake,zangu majirani na anipende mimi kama mimi si sababu nyingine
9.asiwe kisirani
10.ikishidikana basi abaki la Dini na heshima kwani najua hayo yanaweza ku-engeneer mengineyo
 


Nakupa kwa hatua;

1. Awe full masinonda kitandani.... Upo hapo kwanza?
 
heshima na upendo ni kila kitu ....
Bwana apewe sifa.... Ameen
 

usiwe FEMINIST
 
Nimerudi Mocrana. Kwa kuwa wewe bado uko kwenye uchumba kuna vijitabia vingi ambavyo utakuwa umevificha hutaki huyo jamaa avitambue au utakuwa unavumilia vijitabia fulani usivyovipenda kwa huyo jamaa yako ukijiaminisha kuwa ukiolewa tu utambadilisha afanane fanane na mtu unayemtaka.

Sasa mdogo wangu nakuonya mapema kuwa mtu mzima, hasa mwanaume, habadilishwi tabia kwa nguvu. Kama unajiaminisha kuwa utambadilisha mkisha funga ndoa ili afanane na mwanamume wako wa ndotoni jua kuwa unajiandaa kuvunjika moyo mapemaaaaaaaa!. Unaweza, of course, ukambadilisha kiasi fulani ila inategemea na tabia yake na unatakiwa kufanya hivyo kwa upole na hekima kwani vinginevyo atahisi kuwa umepata njemba mwigine na hivyo unataka umbadilishe afanane na hiyo njemba. Mfano unajua kabisa jamaa ulevi wake ni kuangalia mpira bar na siku ya mechi habanduki kwenye TV mpaka mpira uishe. Wakati wa uchumba unamuonyesha kabisa kwa maneno na vitendo kuwa huna tatizo na hilo na unajidai wewe ni mshabiki wa mpira. Halafu akikuoa tu unataka kumlazimisha aache kuangalia mpira na badala yake aangalie tamthilia za kilatino - kwa ufupi utakuwa unaanzisha mgogoro. Huo ni mfano tu kuna mingine mingi tu.

Kingine kama umeficha makucha, kwa maana ya vile vijitabia ambavyo usingependa huyo jamaa avijue, ukitarajia kuyafungua mara baada ya kusaini kile cheti cha ndoa mbele ya kasisi ukidhani kuwa umefunga PINGU za maisha lazima ujue utakuwa unaandaa mazingira ya kusaini nyaraka nyingine (TALAKA) safari hii mbele ya hakimu ambayo itatoa funguo za ile pingu mliyovalishwa na kasisi.

Ushauri wa bure: Kwa kuwa umeamua kuficha vijitabia fulani fulani ili usimuudhi huyo mtarajiwa basi ukishaolewa jitahidi kuvificha milele au kuvidhibiti kwa kiasi ambacho hakitamuudhi huyo jamaa. Kumbuka kuwa amependa tabia zako kama ulivyomwonyesha na utakapoongeza nyingine ataamini kuwa umebadilika na siyo yule aliyemchumbia.

Haya mimi nawahi sehemu ila ukitaka ushauri zaidi nitarudi.
 

utaishia kupost tu ila kumpa wa hivyo kazi bado unayo mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…