Wanaume nao wavae pete za "engagement"

vitabu vya kanisa vilivyotumika kukufungisha ndoa viliandikwa na wazungu huko ulaya ndio maana ukaulizwa kama unakubali kuoana, ila in african context hakuna kitu kama hiyo,
ndio maana wazungu mke akajifungua hata mume anapewa likizo ya uzazi kwa kuwa wameoana na si huku kwetu!

Nilijua kwavile haya makanisa yametokea Ulaya tunapaswa kufata taratibu zote sikujua kama bongo wamechakachua kipengele hicho
 
Back
Top Bottom