Wanaume nao wavae pete za "engagement"

Ni kwa sababu mwanaume hachumbiwi, yeye anachumbia. Maana ya pete ya uchumba ni kwa ajili ya kumchumbia mwanamke na kumfanya mke wako baadea.
 
Pete za ndoa mnavaa wote (mwanamke na mwanaume) maana WAMEOANA, WAMEFUNGA NDOA....

ndio maana cheti wanasaini wote

Hahahaha hii kitu mimi huwa siikubali kuna siku waifu alianza kusema tangu 'tuoane.....' Nikamwambia ishia hapohapo mi sijaoana na mtu. Nimeoa full stop.
 
Inategemea na maisha yenu.....

Umeoa
Ameolewa
Mmeoana

Maisha ni yenu ndoa ni yenu uchaguzi ni wenu.....

Hahahaha hii kitu mimi huwa siikubali kuna siku waifu alianza kusema tangu 'tuoane.....' Nikamwambia ishia hapohapo mi sijaoana na mtu. Nimeoa full stop.
 
Pete za ndoa mnavaa wote (mwanamke na mwanaume) maana WAMEOANA, WAMEFUNGA NDOA....

ndio maana cheti wanasaini wote
kuoana ni mambo ya ulaya huku afrika wanawake wanaolewa,huwezi kusema tumeoana wakati nimekulipia mahali!
 
Nchi zingine wanavaa, inakuwa kama ya ndoa ila ndani inaandikwa jina la mchumba wake
 
narudia tena africa hatuoani kuna kuoa na kuolewa!

Siku ya ndoa niliulizwa kama nakubali kuoana nae....
Nayeye aliulizwa swali hilo pia
Hivyo nathibitisha kuwa tulioana

Labda wewe useme kwanini hamuoani?
 
Siku ya ndoa niliulizwa kama nakubali kuoana nae....
Nayeye aliulizwa swali hilo pia
Hivyo nathibitisha kuwa tulioana

Labda wewe useme kwanini hamuoani?
vitabu vya kanisa vilivyotumika kukufungisha ndoa viliandikwa na wazungu huko ulaya ndio maana ukaulizwa kama unakubali kuoana, ila in african context hakuna kitu kama hiyo,
ndio maana wazungu mke akajifungua hata mume anapewa likizo ya uzazi kwa kuwa wameoana na si huku kwetu!
 
Back
Top Bottom