Sasa hapo unashindwaje kukataa!Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?
Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Ajali kazini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Mtakuja mbebe wanyonya damu shauri zenu
Wanyonya damu ndo wazuri, maana wanajua kunyonya hadi dushelele![emoji3] [emoji3]Mtakuja mbebe wanyonya damu shauri zenu
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanyonya damu ndo wazuri, maana wanajua kunyonya hadi dushelele![emoji3] [emoji3]
Ila kubeba mwanamke mwingine club sio hatari kwa penzi lenu eehAjali kazini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .
Kwanza kuepuka kwenda na mpenzi wako night club unaepusha mengi sana kwa manufaa ya penzi lenu, ni sawa na kuepuka kukagua simu ya mpenzi wako.
Hata kama ni king'ang'anizi huwezi shindwa kumuonyesha kwamba hutakiUle usumbufu ndiyo tusioupenda, wengine ving’ng’anizi kweli
Yeaaah.Kwa sababu unachepuka Kimya kimya.Ila kubeba mwanamke mwingine club sio hatari kwa penzi lenu eeh
Kila mtu yupo tofauti,Mi sometimes nikiona mrembo hana mtu nampa offer halafu naachana naye.Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?
Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Ahsante kwa taarifaUkitaka usitongozwe nenda pale cheza mziki,usiombe kununuliwa kinywaji kua serious
Wengi ndiyo hivyo...Hawa wenzetu wanawaza tofauti sana, wakikuona upo mwenyewe maeneo yale wanahisi wahitaji kampani/ Unatega..
Hatutaki usumbufu tu...Hahahahah!Wengi ndiyo hivyo...
ila kwani mnakereka kwa lipi kuambiwa au kwenda?
Mnatupa wakati mgumu ujue... mnatuchagulia pa kuwatongozea kweli?Hatutaki usumbufu tu...Hahahahah!
Hatuwachagulii, lakini ukimuendea karibu na kuona hana time kabisa na wewe....Unajiongeza tu kuwa huyu sie.Mnatupa wakati mgumu ujue... mnatuchagulia pa kuwatongozea kweli?
Ebu niambie nampango nije PM unampango na mie au hauna ili nijiongeze mapema nisikusumbueHatuwachagulii, lakini ukimuendea karibu na kuona hana time kabisa na wewe....Unajiongeza tu kuwa huyu sie.
Ahaaa,haya yalikuwa/yatakuwa dunia ya lini?Hii dunia ya leo ukimuona mtu anakwenda club eti kuenjoy muziki huyo ni wa kumuangalia kwa jicho la 4.