Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,337
- 93,995
Kuitwa mama sio inshu , inshu nikuitwa mama ukiwa na mume.Sawa kaka angu lakini kupanga ni kuchagua...Mimi niliacha kwenda club siku niliyoitwa mama,earlier msukuma nilikua nampeleka pale Dom NK siku moja moja!!
Mwingine bado anakula ujana
uko sahihi kabisa,mke akichelewa sana saa 6 awe ndani ila si kukesha clubIssue ni kwamba mwanamke yoyote akionekana club usiku wanaume tunajua mlupo. So kubaliana na yote utakayokutana nayo huko.
Umeona sasa?Kuna dada mmoja mama yake alikuwa mgonjwa mahututi yeye akatoka. Mama amefariki ndugu walimtafutabguest zote kumbe yuko gheto na simu amezima
Ohoooo yaan ..dem alikua anakaa namama yake.Ghetto la jamaa
Km starehe yake namruhusu tu si hobby km zingineKuitwa mama sio inshu , inshu nikuitwa mama ukiwa na mume.
Mama anayeishi pekee tena kwa rika lenu ,kama ulikua mtu wa Club ,hata ukiwa na watoto, utaenda tu.... Lkn mama mwenye mume?? Utaanzaje kwanza kwenda Club??
Mbona simpo tu kuelewa.
Let me ask you....nawala usizunguke
Wee nimkristo/muislam umefunga ndoa ya kidini TAKATIFU , Unaweza kaa umruhusu mwanamme wako kwnda club? Naye anakuambia naenda club nitarud baadaw?? Unaweza ??
Aaahhhhhhhh nacheka sana.
Aaaah akili ya pombe mkuu, tukishakunywa sana na kucheza muziki kinachobaki ni kutafuta demu wa kumgegeda.Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?
Kuwe na apps iwe inavibrate ikikutana na muindaji m. Si wite tunakwenda kutafuta club.
Umefanya nicheke sana ..basi kutoka kwangu mimi, wewe sio mwanamke sahihi Nayeweza kuoa.Km starehe yake namruhusu tu si hobby km zingine
Wanaume wengi sana wanaona kwenda kulala wenyewe baada ya kutoka club kama dhambi hiviEhheee si wote tunakwenda kutafuta biashara
Tena dhambi kubwa saana.Wanaume wengi sana wanaona kwenda kulala wenyewe baada ya kutoka club kama dhambi hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi muwe mnawabeba magf zenu muende naoTena dhambi kubwa saana.
Ni kitu ambacho hakiwezekani na hakitowezekana, ingekuwa kwenda naye beach sawa lakini si night club .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi muwe mnawabeba magf zenu muende nao
Na kujuta juu. Wakiona mtu kapaka make up anavutia wanadata kesho sasa wakiamka wanaaanza kujiuliza niliondoka nae vipi. Kuna mkaka kwanza handsome na ana kazi nzuri. Hajawahi kulala peke yake. Na hana gf. Kila siku anapata mwanamke mpya. Na hatoi hata 100 zaidi ya pombe na chakula unakula. Hadi nikamuuliza ina maana we ukienda club unajua kabisa lazima uondoke na mwanamke? Akasema eeeh tena sasa club wananitongozaga wenyewe na siwez kuwakataliaN
Wengi wao wanaondoka na vituko asubuhi akiwa sober mwenyewe anajistukia
Mtakuja mbebe wanyonya damu shauri zenuNi kitu ambacho hakiwezekani na hakitowezekana, ingekuwa kwenda naye beach sawa lakini si night club .